来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
tulifika katika mji wa sirakusa, tukakaa hapo kwa siku tatu.
et cum venissemus syracusam mansimus ibi tridu
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
tulipokwisha agana nao, tulipanda meli tukaenda moja kwa moja mpaka kosi. kesho yake tulifika rodo, na kutoka huko tulikwenda patara.
cum autem factum esset ut navigaremus abstracti ab eis recto cursu venimus cho et sequenti die rhodum et inde patar
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
kwa muda wa siku nyingi tulisafiri polepole, na kwa shida tulifika karibu na nido. kwa sababu upepo ulikuwa bado unatupinga, tuliendelea mbele moja kwa moja tukapitia upande wa krete karibu na rasi salmone ambapo upepo haukuwa mwingi.
et cum multis diebus tarde navigaremus et vix devenissemus contra cnidum prohibente nos vento adnavigavimus cretae secundum salmone
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
toka huko tuling'oa nanga, tukazunguka na kufika regio. baada ya siku moja, upepo ulianza kuvuma kutoka kusini, na baada ya siku mbili tulifika bandari ya potioli.
inde circumlegentes devenimus regium et post unum diem flante austro secunda die venimus puteolo
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量: