您搜索了: wasioamini (斯瓦希里语 - 拉丁语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Latin

信息

Swahili

wasioamini

Latin

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

拉丁语

信息

斯瓦希里语

matokeo yake ni kwamba wote wasioamini ukweli, ila wafurahia dhambi, watahukumiwa.

拉丁语

ut iudicentur omnes qui non crediderunt veritati sed consenserunt iniquitat

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

muwe na hekima katika uhusiano wenu na watu wasioamini, mkitumia vizuri kila nafasi mliyo nayo.

拉丁语

in sapientia ambulate ad eos qui foris sunt tempus redimente

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maana wanaanza safari yao katika utumishi wa kristo bila kupokea msaada wowote kutoka kwa watu wasioamini.

拉丁语

pro nomine enim profecti sunt nihil accipientes a gentibu

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bwana wake atarudi siku asiyoitazamia na saa asiyoijua; atamkatilia mbali na kumweka fungu moja na wasioamini.

拉丁语

veniet dominus servi illius in die qua non sperat et hora qua nescit et dividet eum partemque eius cum infidelibus pone

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

badala yake, kweli imekuwa mtindo ndugu kumpeleka ndugu yake mahakamani, tena mbele ya mahakimu wasioamini.

拉丁语

sed frater cum fratre iudicio contendit et hoc apud infidele

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

msiambatane na watu wasioamini. je, wema na uovu vyapatana kweli? mwanga na giza vyawezaje kukaa pamoja?

拉丁语

nolite iugum ducere cum infidelibus quae enim participatio iustitiae cum iniquitate aut quae societas luci ad tenebra

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ombeni nipate kutoka salama miongoni mwa wale wasioamini walioko uyahudi, nayo huduma yangu huko yerusalem ipate kukubaliwa na watu wa mungu walioko huko.

拉丁语

ut liberer ab infidelibus qui sunt in iudaea et obsequii mei oblatio accepta fiat in hierosolyma sancti

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kila kitu ni safi kwa watu walio safi; lakini hakuna chochote kilicho safi kwa wale waliochafuliwa na wasioamini, maana dhamiri na akili zao zimechafuliwa.

拉丁语

omnia munda mundis coinquinatis autem et infidelibus nihil mundum sed inquinatae sunt eorum et mens et conscienti

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

basi, kanisa lote linapokutana pamoja, na wote wakaanza kusema kwa lugha ngeni, kama wakija watu wa kawaida au wasioamini, je, hawatasema kwamba ninyi mna wazimu?

拉丁语

si ergo conveniat universa ecclesia in unum et omnes linguis loquantur intrent autem idiotae aut infideles nonne dicent quod insaniti

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwenu ninyi mnaoamini, jiwe hilo ni la thamani kubwa; lakini kwa wale wasioamini, "jiwe walilokataa waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi."

拉丁语

vobis igitur honor credentibus non credentibus autem lapis quem reprobaverunt aedificantes hic factus est in caput angul

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

hivyo basi, kipaji cha kusema lugha ngeni ni ishara, si kwa ajili ya watu wenye imani, bali kwa ajili ya wale wasioamini; lakini kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu ni kwa ajili ya wale wanaoamini na si kwa ajili ya wasioamini.

拉丁语

itaque linguae in signum sunt non fidelibus sed infidelibus prophetia autem non infidelibus sed fidelibu

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,740,546,221 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認