您搜索了: minajili (斯瓦希里语 - 法语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

French

信息

Swahili

minajili

French

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

法语

信息

斯瓦希里语

sisi kupandishwa cheo kama jemadari mkuu ni kwa minajili ya kuongezewa mshahara.

法语

sissi promu maréchal, c'est une nécessité salariale.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hatuwezi kugeuza shavu la pili na kujifanya kwamba si wanasayansi wala wahandisi huendeleza teknolojia ambazo baadaye hutumika kwa minajili ya kupeleleza mabilioni ya wananchi au kuua raia kwa vifaa vya udhibiti.

法语

on ne peut pas tendre l'autre joue et prétendre que les technologies mises au point par les scientifiques et les ingénieurs ne sont pas utilisées pour espionner des milliards de citoyens ou tuer des civils à distance.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ingawa waandishi wanaokuwa uwanja wa mapambano huhatarisha maisha yao kwa minajili ya kuandika habari, bado habari zao wakati mwingine haziandikwi kwa sababu ya kufuatiliwa kunakofanywa ndani ya vyombo vya habari.

法语

les reporters qui ont couvert les événements sur la ligne de front au péril de leur intégrité physique ne verront pas forcément leurs articles publiés, en raison de l'auto-censure pratiquée dans les rédactions.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

athari moja wapo inayowezekana ya kubadilishwa huku kwa hali ya hewa ni kwamba inabadili uelekeo wa unyevu unyevu kutoka kwenye maeneo mengine ambayo yanauhitaji vile vile, kwa minajili ya kutengeneza mvua kubwa katika eneno linalokusudiwa.

法语

un des possibles effets secondaires de la modification du climat serait que les précipitations soient détournées des régions qui en ont aussi besoin, au profit de la fabrication d'intempéries plus importantes dans une autre zone.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nina hakika, baadhi ya wanahabari wameweza hata kutengeneza faida kwa kutumia ulegevu wa mkazo kwa upande wa vyombo vya habari unaoendelea huko mashariki ya kongo, kwa minajili ya kusambaza propaganda zinazoipendelea israeli.

法语

certains journalistes peu scrupuleux en profitent même pour instrumentaliser, à des fins de propagande pro-israélienne, la faible couverture médiatique de la guerre à l'est du congo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

sheria hiyo inatoa adhabu ya kifungo jela kwa yeyote ambaye hatatoa taarifa za kuwapo kwa raia anayefanya vitendo vya kishoga kwa mamlaka za kiserikali na vile vile sheria hiyo inatoa hukumu kwa mtu yeyote kutumia mitandao ya kijamii kama facebook na twita kwa minajili ya kupigania haki za mashoga kitendo kinachotafsiriwa na sheria hiyo kuwa ni cha jinai na hukumu yake ni kifungo kisichozidi miaka saba jela.

法语

il prévoit également des peines de prison pour toute personne qui ne dénonce pas les homosexuels aux autorités et punit l'utilisation de comptes facebook et twitter pour les droits des homosexuels, avec un maximum de sept ans de prison.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,733,925,169 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認