您搜索了: kushuhudia (斯瓦希里语 - 立陶宛语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Lithuanian

信息

Swahili

kushuhudia

Lithuanian

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

立陶宛语

信息

斯瓦希里语

hii itawapeni fursa ya kushuhudia habari njema.

立陶宛语

tai bus jums proga liudyti.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kweli nakwambia, sisi twasema tunayoyajua na kushuhudia tuliyoyaona, lakini ninyi hamkubali ujumbe wetu.

立陶宛语

iš tiesų, iš tiesų sakau tau: mes kalbame, ką žinome, ir liudijame, ką matėme, o jūs nepriimate mūsų liudijimo.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

naweza kushuhudia kwamba walikuwa wakarimu kadiri ya nguvu zao na hata zaidi. kwa hiari yao wenyewe,

立陶宛语

aš liudiju, kad jie pagal išgales ir viršydami išgales, savo noru,

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alituamuru kuihubiri habari njema kwa watu wote na kushuhudia kwamba yeye ndiye aliyeteuliwa na mungu awe mwamuzi wa wazima na wafu.

立陶宛语

jis mums įsakė skelbti žmonėms ir liudyti, kad jis yra dievo paskirtasis gyvųjų ir mirusiųjų teisėjas.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ninyi mnaweza kushuhudia, na mungu pia ni shahidi, jinsi mwenendo wetu kati yenu ninyi mnaoamini ulivyokuwa mzuri, mwadilifu na usio na lawama.

立陶宛语

ir jūs, ir dievas gali paliudyti, kaip šventai, teisingai ir nepriekaištingai elgėmės su jumis, įtikėjusiais.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nimewaandikieni barua hii fupi kwa msaada wa silwano, ndugu ambaye namjua na kumwamini. nataka kuwapeni moyo na kushuhudia kwamba jambo hili ni neema ya mungu kweli. kaeni imara katika neema hiyo.

立陶宛语

per silvaną, ištikimąjį brolį,­tokiu jį laikau,­aš jums trumpai parašiau, ragindamas ir liudydamas, kad tai yra tikroji dievo malonė, kurioje jūs stovite.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wananifahamu kwa muda mrefu, na wanaweza kushuhudia, kama wakipenda, kwamba tangu mwanzo niliishi kama mmoja wa kikundi chenye siasa kali zaidi katika dini yetu, yaani kikundi cha mafarisayo.

立陶宛语

jie pažįsta mane nuo seno ir, jei norėtų, galėtų paliudyti, kad aš, būdamas fariziejus, gyvenau, laikydamasis griežčiausios mūsų religijos krypties.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,743,726,793 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認