您搜索了: alibadili (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

alibadili

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

lakini, kama wanaijeria wengi vijana, ifeozo alibadili mawazo yake na kwenda kwenda kupiga kura katika msimu huu wa uchaguzi.

英语

but, like many young nigerians, ifeozo changed his mind and headed to the polls this election season:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hivi karibuni obama alibadili mtazamo wake, akisema angesitisha miradi yenye hatari kubwa kwa mazingira kama bomba la keystone kama zingeonyesha athari mbaya za kimazingira.

英语

recently obama has changed his tune, saying he’d stop dangerous and environmentally disastrous projects like the keystone pipeline if they showed the environmental impact would be negative.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baadaye alibadili mbinu na kuandika habari zinazosifu sera za rais mahmoud ahmedinejad hususan kwa msimamo wake dhidi ya serikali ya marekani, silaha za nyuklia, israeli, na hata kutovumilia upinzani wa umma unaofanywa na wanaharakati wa haki za binadamu.

英语

later he changed tacks and wrote favorably of president mahmoud ahmedinajhad's policies regarding the united states, nuclear weapons, israel, and even intolerance for public dissent from human rights activists.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maoni yaliyoachwa hapo na nnokko johnson yanaisogeza hotuba ya obama mlangoni mwa kameruni kwa kumkumbusha rais wa nchi hiyo, paul biya, ambaye amekuwa madarakani tangu mwaka 1982 na mwaka 2008 alibadili katiba ili kuondoa ukomo wa vipindi vya rais kukaa madarakani:

英语

a comment left by nnokko johnson brings the obama speech to cameroon's door-steps by reminding the country's president, paul biya, who has been in power since 1982 and in 2008 oversaw the amendment of the constitution to cancel limitation of presidential terms:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini rais aliyethibitishwa hivi karibuni, goodluck jonathan anaelekea kubadili mtindo huu: wiki chache zilizopita alifungua anwani yake ya facebook, na siku mbili baadaye alibadili uamuzi uliokuwa umejaa utata mwingi baada ya washabiki wengi walioudhiwa na uamuzi wake kuandika maoni yao makali kwenye ukurasa wake wa facebook.

英语

but newly-confirmed president goodluck jonathan may be changing that: a few weeks ago he opened a facebook account, and two days later reversed a controversial decision after hundreds of fans posted disappointed reactions on his wall.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,763,515,226 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認