您搜索了: chachu (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

chachu

英语

yeast

最后更新: 2018-10-22
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

maambukizi ya chachu

英语

yeast infection

最后更新: 2023-03-08
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo pasaka, ilikuwa inakaribia.

英语

now the feast of unleavened bread drew nigh, which is called the passover.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

yesu akawaambia, "muwe macho na mjihadhari na chachu ya mafarisayo na masadukayo!"

英语

then jesus said unto them, take heed and beware of the leaven of the pharisees and of the sadducees.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

ni kama chachu aliyoitwaa mama mmoja na kuichanganya pamoja na unga debe moja kisha unga wote ukaumuka wote."

英语

it is like leaven, which a woman took and hid in three measures of meal, till the whole was leavened.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

basi, siku ya mikate isiyotiwa chachu ikafika. hiyo ndiyo siku ambayo mwana kondoo wa pasaka huchinjwa.

英语

then came the day of unleavened bread, when the passover must be killed.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

yesu akawaonya, "angalieni sana! jihadharini na chachu ya mafarisayo na chachu ya herode."

英语

and he charged them, saying, take heed, beware of the leaven of the pharisees, and of the leaven of herod.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

sisi, baada ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, tulipanda meli kutoka filipi na baada ya siku tatu tukawafikia kule troa. huko tulikaa kwa muda wa juma moja.

英语

and we sailed away from philippi after the days of unleavened bread, and came unto them to troas in five days; where we abode seven days.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

siku ya kwanza kabla ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi walimwendea yesu wakamwuliza, "unataka tukuandalie wapi chakula cha pasaka?"

英语

now the first day of the feast of unleavened bread the disciples came to jesus, saying unto him, where wilt thou that we prepare for thee to eat the passover?

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

alipoona kuwa kitendo hiki kiliwapendeza wayahudi, aliendelea, akamkamata petro. (hiyo ilifanyika wakati wa sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu.)

英语

and because he saw it pleased the jews, he proceeded further to take peter also. (then were the days of unleavened bread.)

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

jitakaseni, mkatupe mbali chachu ya kale ili mpate kuwa donge jipya lisilotiwa chachu kama mnavyopaswa kuwa; maana, kristo, pasaka yetu, amekwisha tolewa tambiko.

英语

purge out therefore the old leaven, that ye may be a new lump, as ye are unleavened. for even christ our passover is sacrificed for us:

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

yesu akawaambia mfano mwingine: "ufalme wa mbinguni umefanana na chachu aliyotwaa mama mmoja, akaichanganya na unga pishi tatu, hata unga wote ukaumuka."

英语

another parable spake he unto them; the kingdom of heaven is like unto leaven, which a woman took, and hid in three measures of meal, till the whole was leavened.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,745,827,662 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認