您搜索了: hovyo (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

hovyo

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

nilikuwa nafikili hovyo.

英语

nimekuwa nafikilia hivyo

最后更新: 2020-12-02
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ni nchi ya hovyo katika uso wa dunia.

英语

it's the most wretched country on the face of the earth.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

berkut wanaturushia risasi hovyo na wanarusha mawe kutokea kwenye eneo la maduka ya globus.

英语

berkut is shooting and throwing stones from globus .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

baadhi ya watu wanadhani kwamba wakulima wetu hawana elimu na hovyo hawawezi kutumia simu za mkononi.

英语

some people think that our farmers are uneducated and cannot use cell phones.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kaeni mbali na jengo la westgate -watu wenye silaha kali wanapiga risasi hovyo ndani.

英语

stay away from westgate mall - heavily armed individuals shooting in the mall.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

awali ya yote, umetueleza, namna ambavyo kushiriki uchaguzi kuchagua vyama vya hovyo tunavyoletewa kutabadili nchi.

英语

first of all, you explain to us, how taking part in the elections to choose any of the dirty parties imposed on us will change anything in the country.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

taratibu za zamani ni mbaya - rushwa, utawala wa hovyo hovyo, utawala mbovu na mambo kama hayo.

英语

the old ways are bad - corruption, misrule, mismanagement and all that.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

alisema vile vile kuwa katika kesi za ubakaji, polisi wawe wa kwanza kusimamia namna wanawake hao waathirika walivyovaa, na kama wamevaa hovyo, nao washitakiwe kwa kosa la kukaribisha uhalifu.

英语

he also said that in cases of rape, police should first ascertain the dress code of the victim, and if they were dressed indecently, they should also be charged with inviting the crime.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

lakini mwaka huu tukio lisilotarajiwa lilitokea huko naga hammady, misri ya juu, ambapo mhalifu asiyejulikana alianza kupiga risasi hovyo hovyo kwenye umati watu baada ya watu hao kumaliza maombi wakiwa wanaelekea majumbani kwao.

英语

but this year an unexpected incident happened in naga hammady, in upper egypt, where an unknown criminal opened his fire randomly on people there after they finished their prayers and were on their way back to their homes.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

aad ingependa kumlaani mkuu wa mkoa wa ashanti mhe. opoku-manu kwa maoni yake yenye kinyaa na ya hovyo aliyoyatoa mwishoni mwa juma; yenye mwelekeo wa kuvuruga amani na usalama wa taifa hili.

英语

the alliance for the advancement of democracy (aad) wishes to condemn the ashanti regional minister- hon. opoku-manu for his malicious and distasteful comments made over the weekend; which have the propensity to destabilize the peace and security of this nation.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kama ilivyokuwa mwaka 1999 ambapo museveni mwenyewe aliamuru kuwa mashoga wote wakamatwe na kufungwa jela katika kile ambacho ni wazi kilikuwa ni jambo lililowazwa hovyo , mu7 alifikiri kuwa muswada wa bahati ungekuwa ni suala la pembeni katika nyakati hizi ambamo obama amezama kwa taliban, gordon brown ni bata mjinga na hakuna mwingine yeyote anayeitilia maananni afrika zaidi mchina anayefanana na samaki mla nyama.

英语

as in 1999 when museveni himself ordered that gays be arrested and jailed in what was clearly an ill-thought-out throwaway , mu7 thought that the bahati bill would be a side issue in these times when obama is engrossed with the taliban, gordon brown is a lame duck and there is no one else taking africa that seriously apart from the barracuda-like chinese.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

alan mills anasema ziwa halikuharibiwa usiku mmoja, bali ni matokeo ya maendeleo ya hovyo ya utalii yaliyofanyika hapo, na chupa nyingi tupu za bia na uchafu ulioachwa na tafrija za usiku, ambazo hazikubadilisha umasikini uliotopea wa wanavijiji waliozunguka, na wala haukuongeza utalii mzuri kwa mazingira.

英语

alan mills points out that the lake did not collapsed overnight but it was the result of the irresponsible hippie-chic tourism development that took place there, and all the empty beer bottles and rubbish left behind by wild parties, neither improving the living conditions of the extremely poor people from the villages around, which did not increase the environmental friendly tourism.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,743,989,777 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認