您搜索了: kandanda (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kandanda

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

afrika kusini: kandanda ili kupinga ubaguzi

英语

south africa: soccer against xenophobia · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa hivyo, huu ni ushindi wetu tuliopangiwa, kwenye kandanda...

英语

so, this is our destined victory, in soccer…

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

haya yote yalichangiwa sana na ahadi zisizotekelezeka za viongozi wa kandanda.

英语

these were all precipitated by unfulfilled promises by the football administrators.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini pia yatunafaa kujiuliza kama kuna malengo ya muda mrefu ya kurudisha kandanda ya kenya mahali pake.

英语

but we ought to ask ourselves if there are any long-term measures to get kenyan soccer on track.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

chombo kikuu cha kandanda duniani fifa kimeonyesha migawanyiko ya ndani kwa ndani kuhusu kupambana na ubaguzi wa rangi kwenye mashindano haya.

英语

the global soccer body fifa has revealed internal divisions about cracking down on racism at the tournament.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ingawa ni chombo kilichojitokeza hivi karibuni tu katika mapambano ya kandanda, kuna baadhi ya watu wanaohusianisha asili yake na utamaduni wa kiafrika.

英语

though a fairly recent instrument at south african football games, some trace the roots to african tradition.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kocha hassan shehata anasisitiza kuwa mmoja wa makocha wazuri zaidi sio tu kwenye historia ya kandanda la misri, lakini pia katika historia ya afrika.

英语

coach hassan shehata is insisting to become one of the best coaches not only in egypt's football history but also in africa's football history.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

benedict xvi: "uongozi wa timu ya kandanda iitwayo "anzhi" umenipa ofa ambayo nisingeweza kuikataa.

英语

benedict xvi: "the leadership of the football club "anzhi" made me an offer i could not refuse.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

mnamo novemba 2013, croatia ilijiunga na orodha ya kuongezeka kwa timu za taifa za kandanda ambazo fifa imezipiga faini kwa ajili ya tabia za ubaguzi wa rangi ya mashabiki wao au wajumbe wa timu.

英语

in november 2013, croatia and greece joined the growing list of national football teams that fifa has fined for racist behavior of their fans or team members.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa kuwa mechi za kufuzu kushiriki mashindano ya kombe la mataifa ya afrika mwaka 2013 na kombe la dunia mwaka 2014 zinakaribia, mamlaka za kandanda kenya wanangoja kuona tofauti gani ya maana ambayo michel anaweza kuileta.

英语

the dismal performance that kenya's national football team, harambee stars, has shown over the past four years is something the country's football fans hope to put behind them.with 2013 africa cup of nations qualifiers and 2014 world cup pre-qualifiers coming up soon, kenyan football authorities wait to see see what difference henri michel may make.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@beewol: mungu azirehemu roho za wapenda kandanda waliopoteza maisha mahali miaka miwili iliyopita na ziweke mahali pema peponi #twakumbuka julai 11‪

英语

@beewol: r.i.p sports lovers who perished this day 2 years ago ‪#werememberjuly11

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa mungu hakutaka sisi tushinde vita vyetu vya kila siku vya kule tu kubaki hai, badala yake, ametupangia kushinda mpambano wa kandanda, ana mashindano yote, haleluya, tumeokolewa!

英语

so god did not want us to win our daily battles of mere survival, instead, he destined us for winning a soccer game, and entire tournament, hallelujah, we’re saved!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

pamoja na kutiwa nguvuni kwa maafisa kadhaa wa fifa kufuatia mashitaka yaliyofunguliwa na wizara ya sheria ya marekani, chombo hicho kinachosimamia kandanda duniani kimesema kwamba uchaguzi wake, ambao utaunda baraza la 65 la fifa, utaendelea kama ulivyopangwa hivi leo.

英语

despite the recent arrests of fifa officials due to indictments laid by the us department of justice, the world football governing body has said that its elections, which it calls the 65th fifa congress, will continue as scheduled today.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

pernille anaweka picha mtandaoni zinazoonyesha ghorofa lililoporomoka jijini dar es salaam, tanzania siku ya ijumaa, 29 machi 20013: "karibu kabisa na jengo hilo kuna uwanja wa kandanda unaotumiwa na watoto.

英语

pernille shares photos of a building that collapsed in dar es salaam, tanzania on friday, 29 march 20013: "nearby is a football field used by children.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

@marianorajoy tunahitaji kandanda, ni dharura!: orodha nyingine ya furaha inaonyesha uhispania iko mbali kabisa na kilele cha orodha http://t.co/knjqzkxzdz — hrœrekr (@ignurante) september 23, 2013

英语

@marianorajoy we need more soccer, it's urgent!: another happiness ranking shows spain far from the top http://t.co/knjqzkxzdz — hrœrekr (@ignurante) september 23, 2013

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,772,902,442 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認