您搜索了: kinga ya masikio (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kinga ya masikio

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

hakuna kipimo cha kujua kinga ya virusi.

英语

there is no test to establish immunity to the virus.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya muda mfupi, kinga ya mwili inajiunga katika kupambana na virusi.

英语

soon, the adaptive immune response joins the fight against the virus.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

awali alidhani kuwa nafasi ndogo kama hiyo aliyogombea ingempa kinga ya kushambuliwa na serikali.

英语

he had thought that the irrelevancy of the post he sought would make him immune from government pressure.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kila mmoja anastahili kinga ya sheria dhidi ya vurugu, bila kujali ni nani anyefanya vurugu hiyo.

英语

everyone deserves the protection of the law from violence, no matter who commits it.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

sehemu ya kinga ya mwili kukabiliana na maambukizi ni uzalishaji wa antibodi ikiwa ni pamoja na igm na igg.

英语

part of the immune response to infection is the production of antibodies including igm and igg.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwenyezi mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko.

英语

allah has set a seal on their hearts and on their hearings, (i.e. they are closed from accepting allah's guidance), and on their eyes there is a covering.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, protini ya n ya sars-cov inaweza kusaidia virusi kukwepa makali ya kinga ya mwili.

英语

however, the n protein of sars-cov can help the virus escape from the immune responses.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kukandamizwa kwa kinga ya mwili ni muhimu katika matibabu ya mlipuko wa saitokini, hasa kwa wagonjwa walio katika hali mbaya.

英语

immunosuppression is essential in the treatment of cytokine storms, especially in severe patients.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kufikia machi 2020, haikujulikana ikiwa maambukizi ya hapo awali yalitoa kinga ya kufaa na ya muda mrefu ndani kwa waliopona ugonjwa huu.

英语

as of march 2020, it was unknown if past infection provides effective and long-term immunity in people who recover from the disease.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa sasa, hakuna utafiti wa kina ambao umeripoti kuhusiana na makabiliano ya kinga ya mwili dhidi ya sars-cov-2.

英语

currently, no detailed study has been reported regarding the immunological response to sars-cov-2.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

je dharau kwa upande wangu kuhoji kwa nini umma mzima umiliki simu za mkononi kabla ya kunufaika na mkakati wa kinga ya afya kupingana na ugonjwa unaoweza kuzuilika?"

英语

is it arrogant of me to wonder why an entire population acquired cell phones before they had access to a successful public health strategy for a preventable disease?"

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

kwa mfano, antibodi zinaweza kuchochea kinga ya mwili kupita kisasi na kusababisha saitokini kuzalishwa, ambayo ina uwezekano wa kuwa na uchafu wa kutishia maisha.

英语

for example, antibodies can overstimulate the immune response and cause cytokine release syndrome, which is potentially a life-threatening toxicity.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

dalili kali mara nyingi hutokana na kuchochewa sana na kinga ya mwili kupigana kupita kiasi na mlipuko wa saitokini ambapo kinga ya mwili likiwa thabiti sana, mapafu huharibika zaidi.

英语

the severe symptoms are mainly due to the hyperactivation of immune response and the cytokine storm wherein the stronger the immune response, the more severe the lung damage.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jitihada zimewekwa kuunda chanjo za protini ya s ili kuzalisha antibodi thabiti na ya kutumika muda mrefu na/au kinga ya mwili ya ulinzi dhidi ya sars-cov.

英语

efforts have been made to develop s protein-based vaccines to generate long-term and potent neutralizing antibodies and/or protective immunity against sars-cov.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kuhamisha kingamwili zilizochapishwa na zilizokolea zilizozalishwa na mifumo ya kinga ya mwili ya watu waliopona kutokana na covid-19 kwa watu wanaozihitaji kunachunguzwa kama njia isiyo amilifu ya kinga ya mwili isiyo ya chanjo.

英语

transferring purified and concentrated antibodies produced by the immune systems of those who have recovered from covid-19 to people who need them is being investigated as a non-vaccine method of passive immunisation.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa upande mwingine, kinga ya mwili inapozalisha antibodi kupita kiasi inaweza kusababisha madhara mabaya ya mapafu na viungo vingine, na katika hali mbaya zaidi, viungo vingi kukosa kufanya kazi na hata kifo.

英语

on the other hand, an overreaction of the immune system generates a large number of free radicals locally that can cause severe damages to the lungs and other organs, and, in the worst scenario, multi-organ failure and even death.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

je! umemwona aliye fanya matamanio yake kuwa ndiye mungu wake, na mwenyezi mungu akamwacha apotee pamoja na kuwa ana ujuzi, na akapiga muhuri juu ya masikio yake, na moyo wake, na akambandika vitanga machoni mwake?

英语

[prophet], consider the one who has taken his own desire as a deity, whom god allows to stray in the face of knowledge, sealing his ears and heart and covering his eyes -- who can guide such a person after god [has abandoned him]?

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

dilip ratha, mchumi wa benki ya dunia, anadai kwenye blogu ya benki hiyo kuwa pesa zinazotumwa zinaweza kufanya kazi muhimu pamoja na ile hadhi ya uhamiaji ya dharura iliyoongezwa ya “kinga ya muda” (tps) kwa wahaiti laki 2 wanaoishi nchini marekani .

英语

dilip ratha, a world bank economist, argues at the bank's blog that remittances could hold a more important role with the emergency extension of "temporary protected" immigration status ("tps) to as many as 200 thousand haitians living in the us.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,736,331,430 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認