您搜索了: kubughudhiwa (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kubughudhiwa

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kuzuia kubughudhiwa kwa waandishi wa habari kwenye mpaka wa marekani.

英语

prevent the harassment of journalists at the u.s. border.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

waandishi wa habari lazima waweze kuandika habari za maandamano kwa uhuru na bila wasiwasi wa kubughudhiwa.

英语

the journalists must be able to cover demonstrations freely and without any fear of harassment.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wote tumekuwa mashahidi wa matukio mengi ya kutishwa na kubughudhiwa kwa wanasiasa wa upinzani wakati na baada ya uchaguzi wa mwaka 2008.

英语

we were all witnesses to the many cases of intimidation and harassment of political opponents during and after the 2008 elections.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maandamano yaliyokusudia kudai kusitishwa kwa vitendo vya kubughudhiwa yaligeuka kuwa shubiri baada ya wanawake waliokuwa wanahusika nayo kushambuliwa na kikundi cha wanaume wenye hasira katika viwanja vya tahrir leo (june 8, 2012).

英语

a march demanding an end to sexual harassment turned ugly when women involved were attacked by a mob of angry men in tahrir square today (june 8, 2012).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kufahamika kwa ufuatiliaji mkubwa wa majukwaa ya mtandaoni hivi karibuni nchini misri nauingereza, kufuatiliwa kwa waandishi wa habari nchini ethiopia, na kubughudhiwa kwa waandishi na wakosoaji wa serikali duniani kote (mara nyingi kwa mashtaka ya kudaiwa kuihujumu serikali) vyote vinathibitisha ukweli kwamba masuala haya yanayoibuliwa kwenye kampeni ya haki ya kutangaza hayana mipaka.

英语

recent revelations about mass surveillance of online platforms in egypt and the uk, surveillance of journalists in ethiopia, and harassment of journalists and whistleblowers around the world (often under the auspices of anti-state charges) underscore the fact that the issues raised in the right to report campaign are borderless.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,765,631,950 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認