您搜索了: kunyimwa (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kunyimwa

英语

distort

最后更新: 2022-01-15
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

sisi ni mashuhuda halisi wa kunyimwa haki.

英语

we are firsthand witnesses of injustice.

最后更新: 2024-04-12
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kujifunza kusoma na kuandika. utoto wake ulikuwa moja ya umaskini na kunyimwa.

英语

learn to read and write. her childhood was one of poverty and deprivation.

最后更新: 2022-06-20
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

saa kadhaa baadaye nilijikuta kwenye ndege ya kurudi doha, baada ya kunyimwa ruhusa ya kupita pale uwanja wa ndege.

英语

hours later, i found myself on a flight back to doha, without having been allowed out of the airport.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ni mmoja wapo wa mamilioni ambao mioyo yao inauma kwa kunyimwa ushindi tulioupata juni 30 kwa kuchezea ukweli na kuchanganya ulimwengu ili kuufanya utudharau.

英语

i am also one of the millions whose hearts are breaking at being deprived of the victory we achieved on june 30th by having the truth distorted and confusing the world into looking down at us.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

alifedheheshwa na kunyimwa haki. hakuna atakayeweza kuongea juu ya kizazi chake, kwa maana maisha yake yameondolewa duniani."

英语

in his humiliation his judgment was taken away: and who shall declare his generation? for his life is taken from the earth.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

jambo la kwanza, sikuweza kutambua namna wazee wa singapore walivyojisikia kwa kunyimwa haki ya kumiliki na kutengwa hadi pale mzee mmoja mchangamfu kutoka katika kikundi changu alipotoa maoni yake.

英语

for one, i didn't realize that the elderly in singapore felt such a sense of dispossession and rejection until one elderly gentleman from my group said his piece.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

@simsimt: hadi hapo walipoamua kuachana na mimi, niliamrishwa na ofisa aliyekuwa mbele yangu, kunyimwa usingizi. #sudanrevolts

英语

@simsimt: when again, they finally gave up on me, i was ordered by an officer, in front of me, to be deprived from sleeping. #sudanrevolts

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika nchi nyingi, mfumo wa huduma ya afya umepanuliwa sana hadi hauwezi kushughulikia idadi kubwa ya wagonjwa, na kuna uwezekano unaweza kunyimwa matibabu kwa sababu ya ukosefu wa wahudumu wa matibabu, vifaa au bidhaa.

英语

in many countries, the healthcare system has been stretched to the point of not being able to handle the sheer number of patients, and there is a chance you may be refused treatment due to the lack of available medical staff, supplies or equipment.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,781,500,760 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認