您搜索了: kusafirisha (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kusafirisha

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

mkataba wa kusafirisha mzigo

英语

a freight forwarding contract

最后更新: 2020-03-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

protini ya ace2 ina kikoa cha m2 cha peptidi ya temino n na kikoa cha kusafirisha asidi ya amino ya figo ya kolektini temino c

英语

ace2 protein contains an n-terminal peptidase m2 domain and a c-terminal collectrin renal amino acid transporter domain.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ngamia hawa hutumika kama zana muhimu katika kusafirisha pamoja na chanzo kikuu cha nyama, maziwa, bidhaa za ngozi na bidhaa za pamba kwa watu mtaani.

英语

these camels serve as an important tool for transportation as well as a main source of meat, milk, leather and wool products for the local people.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

selebi alituhumiwa kuwa na uhusiano na ‘genge’ ambalo linafanya biashara ya kusafirisha watu, madawa na bidhaa za wizi, kwa mujibu wa hati ya mashitaka.

英语

selebi was also accused of having links to a syndicate that trafficked people, drugs and stolen goods, according to the charge sheet.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kazi ambazo zina hatari ya juu zinajumuisha utoaji wa huduma za afya, msaada, maabara, wafanyakazi wa kusafirisha matibabu ambao wamegusana na wagonjwa wanaojulikana au wanaoshukiwa wa covid-19.

英语

high exposure risk jobs include healthcare delivery, support, laboratory, and medical transport workers who are exposed to known or suspected covid-19 patients.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

malengo ya mwitikio kwa mkurupuko hujumuisha kupunguza usambazaji kati ya wafanyakazi, kulinda watu ambao wako hatarini zaidi kwa matatizo sugu ya kimatibabu, kudumisha operesheni za biashara, na kupunguza athari mbaya kwa mashirika mengine na wanaohusika katika kusafirisha bidhaa.

英语

objectives for response to an outbreak include reducing transmission among staff, protecting people who are at higher risk for adverse health complications, maintaining business operations, and minimizing adverse effects on other entities in their supply chains.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

na kuna wanawake ambao wanaona kwamba kuwa na mimba ni njia pekee ya kukwepa hukumu, kama ilivyotokea mwezi juni, pale mwanamama wa kiingereza aliwekwa ndani na kuhukumiwa kifo huko laos kwa sababu ya kusafirisha madawa ya kulevya akapata ujauzito gerezani na akanusurika kunyongwa, kwa sababu serikali ya laos isingemnyonga mwanamama mjamzito.

英语

and there are women for whom it seems that pregnancy is the only way to escape a sentence, as was the case back in june, when a british woman incarcerated and sentenced to death in laos due to drug smuggling got pregnant in prison and escaped being executed, since the laos government would not execute a pregnant woman.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hapa kuna wazo fikirishi: kama baadhi ya ‘yatima’ walitolewa kwa uasiliwaji kwa sababu wazazi wao hawawezi kuwatunza, vipi kuhusu kusafirisha familia nzima kutoka haiti kwenda marekani?

英语

here’s a radical thought: if some of those “orphans” were relinquished for adoption because their parents could not keep them, how about we airlift entire families from haiti to the u.s.?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,730,771,125 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認