您搜索了: kusimamia (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kusimamia

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kusimamia uchaguzii

英语

manage

最后更新: 2024-02-26
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kusimamia miradi ya maendeleo

英语

kukagua miradi mbalimbali inayoendelea kwenye kata ikiwemo mradi wa soko la kisasa

最后更新: 2023-09-10
使用频率: 2
质量:

斯瓦希里语

kusimamia visiting day ifanyike kwa umakini

英语

supervising the profession

最后更新: 2024-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wameamua kusimamia kidete dhidi ya ukiukwaji wa haki.

英语

they chose to stand up against injustice.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

who ilipongeza juhudi za mamlaka za uchina kusimamia na kudhibiti janga hili.

英语

the who has commended the efforts of chinese authorities in managing and containing the epidemic.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya kukusanya taarifa zote, hatua ya pili ni kutafuta upande wa kusimamia katika suala hilo.

英语

after gathering all information, the second step is to take a stand on the issue.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maandishi chini ya mchoro yanasomeka: heshimu haki za raia wazawa na haki yao ya kusimamia mambo yao.

英语

the text at the borders of the painting reads: respect the rights of indigenous peoples and their right to self-determination.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tunaitaka serikali ya morocco kusimamia makubaliano ya haki za binadamu za kimataifa na hivyo kufuta mashitaka iliyofungua dhidi ya watu hawa saba.

英语

we call on the moroccan government to stand by its commitments to international human rights agreements and drop all charges against these seven individuals.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kufungwa kwa shule kunaweza mzigo kwa wazazi na walezi kutoa huduma ya kutunza watoto na kusimamia masomo ya mbali huku watoto wakiwa nje ya shule.

英语

school closures puts a strain on parents and guardians to provide childcare and manage distance learning while children are out of school.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika vyombo vya habari vya china, hatua hizi za kuweka mambo wazi huenda zitawasaidia raia kusimamia matumizi yanayofanywa na serikali yao.

英语

according to sources in the chinese media, these transparency measures may help local citizens monitor the spending habits of their government.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

amalia alituma wito kwenye radio alhamisi asubuhi na watu wakaja kuendelea na wasiwasi kidogo kuhusu majibu ya bosi wangu kuhusu njia yangu ya kusimamia matatizo ya afya mitaa yetu na kuvuka mipaka ..

英语

amalia send a radio call on thursday morning and people came progressively a little worried about the reaction of my boss regarding my way of managing our local health problems and crossing borders ..

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alisema vile vile kuwa katika kesi za ubakaji, polisi wawe wa kwanza kusimamia namna wanawake hao waathirika walivyovaa, na kama wamevaa hovyo, nao washitakiwe kwa kosa la kukaribisha uhalifu.

英语

he also said that in cases of rape, police should first ascertain the dress code of the victim, and if they were dressed indecently, they should also be charged with inviting the crime.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hogan, mwanamama mwanaharakati mkongwe dhidi ya ubaguzi wa rangi na mwanachama wa muda mrefu wa anc, yaani african national congress, hapo awali alikuwa mwenyekiti wa kamati ya kusimamia masuala ya fedha.

英语

hogan, a veteran anti-apartheid activist and a long-term anc (african national congress) member, was previously the chair of the finance portfolio committee.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hizo zilikuwa baadhi ya sababu zilizotolewa na mwanaharakati wa haki za binadamu, benilde nhalivilo, wakati akijitoa rasmi kugombea nafasi kwenye tume ya taifa ya uchaguzi ya msumbiji, chombo kinachohusika na kuandaa na kusimamia chaguzi nchini humo.

英语

those were the reasons given by the human rights activist, benilde nhalivilo, to give up candidacy for a seat on the national elections commission of mozambique, a body responsible for overseeing elections in the country.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika jimbo la new york visa vilikuwa zaidi ya watu 100,000 mnamo 3 aprili.ikulu ya marekani imeshutumiwa kwa kutotilia maanani tishio na kudhibiti ujumbe ya maafisa wa afya na wanasayansi kusimamia taarifa ya umma na machapisho yanayohusiana na virusi na ofisi ya naibu wa rais mike pence.

英语

in the state of new york the cases have exceeded 100,000 people on 3 april.the white house has been criticized for downplaying the threat and controlling the messaging by directing health officials and scientists to coordinate public statements and publications related to the virus with the office of vice-president mike pence.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

afrika ina viwanda vidogo na vya kati vipatavyo milioni 65 , hata hivyo bado inajikongoja kuendeleza kundi la wajasiriamali wa ndani wa kusimamia viwanda vya kimkakati, hususani mauzo ya mazao ya nje ya mazao ya kilimo, madini, usafiri na sekta ya viwanda vya umma ambapo soko mara nyingi mno hugeuka kuwa ya mameneja wa kigeni.

英语

africa has 65 million small and medium enterprises (smes) , nevertheless it is still struggling to develop a class of local entrepreneurs to manage strategic industries, specifically the export of agricultural raw materials, mining, transport and industry public works where the market too often turns to foreign managers.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,735,987,331 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認