您搜索了: kuwafikia (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kuwafikia

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

wala msiwe kama wale walio farikiana na kukhitalifiana baada ya kuwafikia hoja zilizo wazi.

英语

and be not as those who divided and differed among themselves after the clear proofs had come to them.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

fungueni masoko kwa ushindani na biashara za faida na mtaona uwekezaji mkubwa na matokeo yake huduma hiyo itaongezeka kuwafikia watu wengi zaidi.

英语

open up the markets to competition and profits and you will see large-scale investments and significantly improved access.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

zaidi ya hilo, kuna idadi kubwa tu ya watawa ambao wanatumia intaneti kwa wingi zaidi ili kujaribu kuwafikia watu wengi zaidi.

英语

moreover, there are a number of monks who are effectively maximizing the internet in order to reach a wider audience.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

leo hii, wamesema katika taarifa yao kwa vyombo vya habari kwamba hawajaweza kuwafikia raia walioko kaskazini-mashariki kwa siku tisa.

英语

today, they in a news release that the they have not had access to civilians in the north-east for nine days.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wasanii wa uchoraji kuta wana mategemeo ya kuwafikia vijana wadogo wa san pedro sula,wengi wao wakifanya juhudi za kulikimbia jiji kuliko kuendelea kuishi kwenye jiji lenye ghasia.

英语

the graffiti artists hope to connect with the young people of san pedro sula, many of whom choose to flee rather than stay in the turbulent city.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

watu wengi walijadili ujasiri wa kutwiti kwa kutumia simu ya iphone, na, kwa hakika, kwa kutumia huduma iliyoanzishwa marekani ili kuwafikia aliotaka wasikie anachosema.

英语

many people pointed out the irony of him tweeting from an iphone, and, indeed, using an american founded service to reach out to his audience.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

erik hersman anayeblogu kwenye blogu ya white african, anajadili majukwaa-nyenzo ya habari ambayo obama anakusudia kuyatumia ili kuwafikia waafrika zaidi ya wale wa ghana.

英语

erik hersman who blogs at white african, discusses media platforms obama intends to use to reach out to africans beyond ghana.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jm casanueva, mwandishi wa blogu ya socialtic, anapitia mwelekeo mpya wa harakati nchini mexico kwenye blogu na kwenye mitandao ya kijamii ambayo inatumia utani kuwafikia watu wengi zaidi:

英语

jm casanueva, author of the blog socialtic, reviews the new trend in activism in mexico that uses humor on blogs and social networks to reach a larger audience:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

globalwarming arclein, blogu inayoandika kuhusu jinsi kilimo kinavyoweza kusaidia kupunguza gesi ya ukaa, inasema kwamba teknolojia ya hali ya chini ya gesi inayotokana na samadi inasababisha gesi hiyo kuwafikia wanepali walio wengi ambao wanaishi vijijini:

英语

globalwarming arclein, a blog on how agriculture can help reduce carbon emission, says that the low tech approach of biogas makes it accessible to the majority of nepalese people who live in villages:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

je, juhudi hizi za kuwafikia wa-venezuela wengi zaidi kwa ujumbe rahisi tu kuwa watu wanaweza kupata na kutuma habari/taarifa kuhusiana na mwenendo wa uchaguzi zitafanya kazi?

英语

are the efforts to reach more venezuelans with the simple message that they can both access and add to information about electoral malfeasance working?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini kamati ya kimataifa ya hilali nyekundu (icrc), shirika huru pekee ambalo liliweza kuwafikia raia katika eneo la mgogoro, liliita hali iliyokuwepo kama “si jingine zaidi ya balaa.”

英语

but the international committee of the red cross (icrc), the only independent organization that has had access to civilians in the conflict zone, called the situation "nothing short of catastrophic."

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,744,117,911 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認