您搜索了: kuwahamasisha (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kuwahamasisha

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

lengo letu ni kuwahamasisha wengine kuchora kila siku, kwa namna hii kuboresha uwezo na uchunguzi wao.

英语

our aim is to inspire others to sketch daily, this way improving their skills and observation capacities.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baadae mwaka huu ningependa kufanya mazungumzo na warsha kadhaa kuwahamasisha watu nchini mauritania kuchora kutokana na uchunguzi.

英语

later this year i would like to hold some talks and workshops to encourage more people in mauritania to sketch from observation.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kundi hilo hivi sasa limegeuza manung’uniko yake juu ya mgawo wa umeme kuwa vuguvugu la kuwahamasisha vijana.

英语

the group has now transformed its discontent at power cuts into a mobilisation movement for young people.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

blogu ya ki-mexico hazme el chingado favor ilitundika uchambuzi mfupi kuwahamasisha wasomaji wake kuisambaza video hiyo:

英语

mexican blog hazme el chingado favor posted a short commentary encouraging their readers to share the video:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ninataka kuwahamasisha nyote kuendelea kujifunza, kuendelea kuwafundisha wengine na kwa hakika kuyaanza mapya mapya kwenye lugha mpya, kwa kuizungumza.

英语

i want to encourage all of you to continue to learn, continue to teach other and to really put your life into it, speaking.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwenye mchakato mpya, jumbe za maandishi zitakuwa zikitumwa kila siku kuwahamasisha wa-afrika ya kusini kwenda kupimwa na kutibiwa ugonjwa huo.

英语

a new initiative will be sending free text messages daily to encourage south africans to get tested and treated for the disease.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa majuma machache yaliyopita, coren imeweza kuwahamasisha wananchi wa mali kote ndani ya mipaka hiyo, kwa kutumia ukurasa unaonekana kutangaza matukio yanayofuata pamoja na kuonyesha mshikamano kama inavyoonyeshwa katika habari mpya iliyowekwa na mwanachama wa kundi hilo aitwaye oumar maigar:

英语

for the last few weeks, coren have mobilised the people of mali throughout the entire territory, with the page notably being used to announce upcoming events as well as to demonstrate solidarity as shown in the following status update from group member oumar maigar:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa kupitia kampeni hii ya mtandaoni, tunahitaji kuwatambua na kuwahamasisha watumiaji wa mtandao wa intaneti wanaotumia lugha zao za asili kwenye mtandao wa twita hususani kwenye lugha za wenyeji, zilizo kwenye hatari ya kutoweka na zinazozungumzwa na watu wachache, zote zikiwa hazijawakilishwa ipasavyo mtandaoni.

英语

through this online campaign, we want to recognize and encourage internet users who are sharing their language on twitter with a special focus on indigenous, endangered and minority languages, all of which may not be as well represented online.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

labda, kama nguvu ya kuwahamasisha wapiga kura ambao ni watumiaji wa mtandao kwenda kuwa wapiga kura ingetumika kuhamasisha wapiga kura halisi, ingelifanikiwa katika kuongeza kidogo idadi ya waliojitokeza kupiga kura oktoba 14 (hasa kwa kuzingatia jinsi ni vigumu kuwa wapiga kura hakika kwenye cvk2012.org ).

英语

perhaps, if the massive get-out-the-vote machine tasked with mobilizing netizen voters had shifted focus to actual voters, it would have succeeded in increasing the meager october 14 turnout (especially considering how difficult it is become a verified voter on cvk2012.org ).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,748,232,190 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認