您搜索了: lakini wakati ule maalumu ulipotimia (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

lakini wakati ule maalumu ulipotimia

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

lakini, wakati mtu amgeukiapo bwana, kifuniko hicho huondolewa.

英语

nevertheless when it shall turn to the lord, the vail shall be taken away.

最后更新: 2014-02-07
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini wakati wema na upendo wa mungu, mwokozi wetu, ulipofunuliwa,

英语

but after that the kindness and love of god our saviour toward man appeared,

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

aliisalimia dunia wakati ule kwa maneno haya:

英语

she greeted the world back then with these words:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hasa wakati ule tovuti yetu ilipotangazwa kwenye gazeti la serikali.

英语

especially when toc was gazetted.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini wakati utafika ambapo bwana harusi ataondolewa kati yao; wakati huo ndipo watakapofunga.

英语

but the days will come, when the bridegroom shall be taken away from them, and then shall they fast in those days.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mataifa mangapi tumeyaangamiza kabla yao, na wakapiga kelele, lakini wakati wa kuokoka ulikwisha pita.

英语

how many a generation have we destroyed afore them, and they cried when there was not time of fleeing.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maoni yaliyotumwa kwenye mtandao wa intaneti yalikuwa tofautitofauti kwa wakati ule.

英语

comments in the internet were quite mixed at that time.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini wakati unapoilaumu anc, basi wekeni mambo katika muktadha husika,” sapa ilimnukuu mthembu akisema.

英语

but when you blame the anc, then contextualise it,” sapa quotes mthembu as saying.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wakati huo wote yuko chini ya walezi na wadhamini mpaka wakati ule uliowekwa na baba yake.

英语

but is under tutors and governors until the time appointed of the father.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

sina tatizo kwamba nimetalikiwa, lilikuwa ni jambo sawa kufanya wakati ule na sijuti asilani.

英语

i have no problem being divorced, it was the right thing to do at the time and i never regret it.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa hiyo, wanatambua kuwa serikali haiwafanyii jambo lolote zuri, lakini, wakati huohuo, wanaogopa sana kuwa kinyume na serikali.

英语

so they know that the government is not making any good for them, but at the same time they are so afraid of the opposition.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini wakati huohuo wengi wanafikiri pia kwamba nia yake ilikuwa njema, kwa hiyo hakuna shida, na kwamba apewe nafasi ili kuitumikia nchi.

英语

but at the same time they feel that if it's a good intention, it should be ok, and he should have a chance to work for the country.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

samahani kaka jana nilikuwa siko sawa kuna matatizo nilishindwa nifanye nini kwa wakati ule nilijikuta nalia ndomana nikakupigia ila saivi niko sawa usijali kuhusu mimi

英语

sorry brother yesterday i was not okay there are problems i failed to do what i did at that time i found myself crying and i called you but saivi i am okay don't worry about me

最后更新: 2023-10-22
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

watu waliendelea kula na kunywa, kuoa na kuolewa mpaka wakati ule noa alipoingia katika safina. gharika ikatokea na kuwaangamiza wote.

英语

they did eat, they drank, they married wives, they were given in marriage, until the day that noe entered into the ark, and the flood came, and destroyed them all.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jambo pekee tunalojua kwa hakika kuhusu kile kilichotokea nchini madagaska mwaka mmoja uliopita ni kuwa tungeliweza kumtumia mtu kama dkt. king wakati ule.

英语

the only thing we know for sure about what really happened in madagascar a year ago is that we could have used a dr. king back then.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kinachokufanya ucheke na kulia kwa wakati ule ule ni kwamba kwenye uchaguzi huu, uliokuwa na wagombea wawili tu, hamdeen kawa wa tatu baada ya idadi ya kura zilizotangazwa kuharibika

英语

what makes you laugh and cry at the same time is that in elections, with only two candidates, hamdeen is in third place after the votes that have been declared void

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wahudhuriaji walikuwa wa aina tatu na kwa wakati ule ule: watu wa gulu kaskazini mwa uganda, wabunge wanawake wa uganda na watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini uganda.

英语

three audiences participated in the chat in real time: the people of gulu in northern uganda, female members of parliament and uganda's social media audience.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wakimbizi wakutanishwa hivi sasa dunia imeunganishwa zaidi kuliko ilivyowahi kuwa kabla, lakini wakati maelfu ya wakimbizi wanazikimbia nchi zao zenye migogoro au majanga na hivyo kupoteza mawasiliano na ndugu na jamaa zao -ambao mara nyingi hupoteza mawasiliano hayo milele.

英语

refugees unitedthe world is more connected than ever, but when refugees fleeing conflict or disaster lose touch with loved ones - it's sometimes forever.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hiyo inahitaji kuamini kwa kiasi fulani, kwa sababu karibu wakati ule ule alipokuwa anatoa taarifa yake kwa waandishi wa habari, timu ya wapasuaji ya kigeni inayojihusisha na kazi za kibinadamu walisema jambo lililotofautiana na matamshi yake.

英语

that takes some believing, because almost at the same time as he was issuing that press statement, a team of foreign surgeons engaging in humanitarian work inadvertenlty contradicted it.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tena, baadaye, wakati ule wa kuhesabiwa watu, alitokea yuda wa galilaya. huyu naye, aliwavuta watu wakamfuata; lakini naye pia aliuawa, na wafuasi wake wakatawanyika.

英语

after this man rose up judas of galilee in the days of the taxing, and drew away much people after him: he also perished; and all, even as many as obeyed him, were dispersed.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。

获取更好的翻译,从
7,770,477,581 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認