来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
salamu zetu kwa ndugu zetu wa laodikea; msalimuni dada nimfa pamoja na jumuiya yote ya waumini inayokutana nyumbani kwake.
salute the brethren which are in laodicea, and nymphas, and the church which is in his house.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
napenda mjue jinsi ninavyofanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu, kwa ajili ya watu wa laodikea na kwa ajili ya wote ambao hawajapata kuniona kwa macho.
for i would that ye knew what great conflict i have for you, and for them at laodicea, and for as many as have not seen my face in the flesh;
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
mkisha soma barua hii, hakikisheni kwamba inasomwa na wakristo wa laodikea; na ninyi fanyeni mpango mpate kuisoma barua waliyoipata kwao.
and when this epistle is read among you, cause that it be read also in the church of the laodiceans; and that ye likewise read the epistle from laodicea.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
"kwa malaika wa kanisa la laodikea andika hivi: "huu ndio ujumbe kutoka kwake yeye aitwaye amina. yeye ni shahidi mwaminifu na wa kweli, ambaye ni chanzo cha viumbe vyote alivyoumba mungu.
and unto the angel of the church of the laodiceans write; these things saith the amen, the faithful and true witness, the beginning of the creation of god;
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式