您搜索了: mapori (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

mapori

英语

bush

最后更新: 2011-06-30
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ninaota juu ya majangwa makubwa, juu ya misitu yetu, ya maisha yote yanayoendelea kwenye nyika na mapori yetu.

英语

i dream of our vast deserts, of our forests, of all our great wildernesses.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

badala yake, watu waliohamishwa wanaishi kwa hofu ya kukumbwa na njaa kwa kuwa sasa hivi hawana mashamba tena, mapori na mito vyote viko mbali nao.

英语

on the contrary, displaced people fear starvation since they no longer have access to their farms, forests, and rivers.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kama ilivyokuwa kwa ndoto zake kuhusu haki za binadamu, nelson mandela pia alikuwa na ndoto kuhusu maisha ya viumbe kwenye mapori ya afrika ili viumbe hao waunganishwe kwa amani katika nchi nyingi.

英语

much like his dreams for human rights, nelson mandela has also dreamed of african wilderness being unified in peace across many countries.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wale wanaojaribu kurudi kwenye ardhi zao za asili wanakuta tayari serikali imeshaigawa ardhi hiyo kwa wawekezaji wa kigeni ambao kwa haraka haraka wanasafisha maeneo hayo kwa kuondoa mapori, mashamba yaliyokuwepo na vichaka ili kupata nafasi ya kulima mazao ya kibiashara kama vile ufuta, chai, viungo, mchele, na sukari, ambapo mazao mengi yanakusudiwa kuuzwa nje ya nchi.

英语

those who try to return to their ancestral lands find that the government has already leased their lands to foreign investors who are hurriedly bulldozing forests, farms, and wetlands in order to grow commercial crops of agro fuels, tea, spices, rice, and sugar cane, mostly for export.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,760,916,325 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認