您搜索了: masikitiko (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

masikitiko

英语

i am sadly sorry.

最后更新: 2023-06-17
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

sikumpenda lakini nina masikitiko kiasi

英语

didn't like the guy but a little sad

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ni siku mbaya na ya masikitiko :( #et409

英语

it's a very sad and horrible day :( #et409

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

siku ya masikitiko #et409 – kesho tutajaribu kwenda pwani.

英语

such a sad day #et409 - tomorrow we'll try to get down to the beach.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

max kwenye jewbonics alieleza kujitoa kwake kwenye wimbi hilo kwa masikitiko.

英语

max at jewbonics noted his departure from the movement with regret.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

sifahamu ni kwa nini akili yangu inajisikia kuchanganyikiwa, yenye huzuni na masikitiko.

英语

i don’t know why my mind feel so mixed, sad and sorrow.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa masikitiko, imebidi waandishi wasio wa ki-zambia kuifanya filamu hii iwe kama tunavyoiona.

英语

sadly, it takes non-zambian journalists to put a documentary like this together.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kisha, wanafunzi wa kenya walianza kutoa hotuba zao fupi kuonesha masikitiko yao lakini pia wasiwasi wao kuhusu mustakabali wa jamii ya wakenya.

英语

soon, kenyan students began to deliver short speeches expressing grief but also concern at the future of kenyan society.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

taarifa za habari zinathibitisha kuwa muimbaji huyo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani kwa muda; rambirambi za wanablogu zimekuwa na mguso pia zinaelezea masikitiko binafsi.

英语

news reports confirm that the singer had been ailing from cancer for some time; bloggers' tributes have been both touching and personal.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa masikitiko hata hivyo, sherehe yetu ilitekwa kwa mara nyingine na wapuuzi wasio na aibu waliolipua bomu katika soko ambalo mara zote hujaza watu sana liitwalo mogadishu cantonment abuja kwenye mkesha wa mwaka mpya.

英语

sadly though, our celebration was hijacked once more by some faceless cowards who detonated a bomb in the usually crowded mammy market of the mogadishu cantonment (sani abacha barracks) abuja on new year eve.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

barua zao za kujiuzulu zilipokelewa na rais thabo mbeki "ambapo kwa masikitiko makubwa, ilimpasa kuzipokea", ilisema taarifa kutoka ofisi ya rais jumanne iliyopita.

英语

their letters of resignation had been received by president thabo mbeki "which, regretfully, he has had to accept", the presidency said in a statement on tuesday.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

ni masikitiko makubwa kusikia kuhusu #et409… natumaini (msiba) utakuwa bila ya uchungu kwa kadri inavyowezekana kwa ndugu na marafiki wote.

英语

very sad to hear about #et409... i hope it's as painless as possible to all family and friends.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ni jambo zuri kwamba jiji linapata sura mpya - (safisha-safisha) inalifanya jiji lionekane zuri zaidi, na mataa ya barabarani yamerahisisha kuendesha magari usiku kadhalika kupata usafiri wa teksi kuwa rahisi na salama - lakini ni masikitiko kwamba safisha-safisha hii inamaanisha uharibifu wa namna ya watu wanavyoishi.

英语

it’s nice that the city is getting a face-lift - it sure makes things look a lot nicer, and the big street lights make driving at night or trying to get a taxi along the main route so much easier and safer - but it’s sad that this clean-up has to mean the destruction of people’s way of life.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,762,633,295 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認