您搜索了: nitaendelea (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

nitaendelea

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

siku zote nimekuwa na nitaendelea kuwa hivyo.

英语

always have been and always will be.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nitaendelea kuwajulisha nyote, msihofu sitalifanya suala hili kuwa siri :)

英语

i will keep u all posted, don't worry i won't keep this to myself :)

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ninatoa habari ya kile nikionacho na nitaendelea kuhabarisha pamoja na kuhatarisha maisha yangu.

英语

i report what i see and i will continue to report even if it will cost me my life.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alikataa, na nikamwambia, 'kama ni hivyo, nitaendelea kufanya kile ninachokifanya.'

英语

he said no, and i said 'well, then i will continue to do what i’m doing.'

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa hiyo nitaendelea kuwakumbusheni daima mambo haya, ingawa mmekwisha yafahamu, na mko imara katika ukweli mlioupokea.

英语

wherefore i will not be negligent to put you always in remembrance of these things, though ye know them, and be established in the present truth.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nitaendelea kufanya kama ninavyofanya sasa, ili nisiwape nafasi wale wanaotafuta nafasi, nafasi ya kujivuna kwamba eti wanafanya kazi kama sisi.

英语

but what i do, that i will do, that i may cut off occasion from them which desire occasion; that wherein they glory, they may be found even as we.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nimekufanya ujulikane kwao na nitaendelea kufanya hivyo, ili upendo ulio nao kwangu uwe ndani yao, nami niwe ndani yao."

英语

and i have declared unto them thy name, and will declare it: that the love wherewith thou hast loved me may be in them, and i in them.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

na pale musa alipo mwambia kijana wake: sitoacha kuendelea mpaka nifike zinapo kutana bahari mbili, au nitaendelea kwa muda mrefu.

英语

(and recount to them the story of moses) when moses said to his servant: "i will journey on until i reach the point where the two rivers meet, though i may march on for ages."

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

nilipokuwa nanyi sikumsumbua mtu yeyote nilipohitaji fedha; ndugu waliotoka makedonia waliniletea kila kitu nilichohitaji. nilikuwa mwangalifu sana nisiwe mzigo kwa namna yoyote ile, na nitaendelea kufanya hivyo.

英语

and when i was present with you, and wanted, i was chargeable to no man: for that which was lacking to me the brethren which came from macedonia supplied: and in all things i have kept myself from being burdensome unto you, and so will i keep myself.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

happy betty: najisikia kubarikiwa kuwa hai wakati huu uganda inapotimiza miaka 50 sina hakika kama nitaendelea kuwepo wakati huo itakapofikia miaka 100 bali kwa kizazi changu... wazee wetu wametufikisha hapa tulipo leo, ni zamu yetu kuipeleka uganda kuelekea miaka mingine 50 tukijua vyema tunakoelekea -mungu yu pamoja!

英语

happy betty: blesed 2b hea as uganda meks 50 sure i shall stil b around at 100 bt 2my generation thus far our fathers hv come its our turn 2take uganda thr da nxt 50 yrs we determine what we shall have then-god sure is with us!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,739,409,582 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認