您搜索了: pato la mweziswahili (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

pato la mweziswahili

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

pato la taifa linabaki pale pale na hali ya kiuchumi ya familia haibadiliki.

英语

the gross income remaining the same, the household economy is not changed.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

china: pato la taifa linaongezeka, matumizi katika huduma za jamii je?

英语

china: gdp rising, public spending too? · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wala msiwashurutishe vijakazi vyenu kufanya zina kwa ajili ya kutafuta pato la maisha ya dunia, ilhali wao wanataka kujihishimu.

英语

and constrain not your bedmaids to harlotry if they would live chastely, in order that ye may seek the chance gain of the life of the world.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

goldenberg ambayo serikali ilipunguza bei ya kuuza dhahabu nje ya nchi ndio kashfa iliyoendelea kwa muda mrefu na ilikuwa na gharama ya zaidi ya asilimia kumi ya kila mwaka ya pato la taifa.

英语

the goldenberg scandal is the longest-running corruption scandal in kenya in which the kenyan government subsidized exports of gold. the goldenberg scandal cost kenya the equivalent of more than 10% of the country's annual gdp.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ukuaji ulio ongezea pato la kuu la mwaka la bara la afrika kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita unaonyesha kwamba ubepari huu wa kimantiki na kibinafsi umejijenga sawia ingawa si kwa usawa barani humu.

英语

the growth that fueled the continent's gdp over the past decade indicates that this rational, individualistic capitalism is installed progressively albeit unevenly across the continent.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kiongozi wa kisiasa elizabeth mateo, maarufu kama kiongozi wa kupigania asilimia 4 ya pato la taifa itumike kwa elimu, aliandika yafuatayo kwenye mtandao wa twita:

英语

civic leader elizabeth mateo, popularly known as the leader of the fight to get 4% of gdp spent on education, published the following on twitter:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kodivaa, nchi iliyoko afrika magharibi yenye pato la nchi la euro milioni 19 na wastani wa euro 967 kwa kila mkodivaa, ni nchi maskini zaidi kati ya nchi zinazoshiriki kwenye mashindano hayo, baada ya honduras na bosnia.

英语

ivory coast, located in west africa, with a gdp of 19 million euros and a per capita of 967 euros is the third poorest country that takes part in the world cup, after honduras and bosnia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nchi hiyo ina ukuaji wa wastani wa pato la ndani (gdp) wa asilimia 5.2 kwa 2013 kwa sababu ya kuuza zaidi bidhaa nje ya nchi na kukua kwa uwekezaji, na ilitarajiwa kuendelea kukua hata kwa mwaka 2014 na 2015, kwa mujibu wa takwimu za benki ya maendeleo ya afrika (ingawa ukame mkubwa unaweza kuwa umebadili utabiri huu).

英语

the country registered real gross domestic product (gdp) growth of 5.2 percent in 2013 due to strong exports and public investment, and was expected to continue growing even more in 2014 and 2015, according to african development bank data (although severe drought may have changed this forecast).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。

获取更好的翻译,从
7,749,159,924 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認