您搜索了: pulse (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

global pulse 2010: mwaliko wa kuzungumza na watoa uamuzi mtandaoni

英语

global pulse 2010: an invitation to talk to decision makers online · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

blogu ya ict pulse inapitia taarifa iliyochapishwa hivi karibuni iliyoandaliwa na tume ya umoja wa mataifa ya haki za binadamu juu ya haki ya faragha katika enzi hizi za dijitali.

英语

ict pulse reviews a recently published report from the united nations high commissioner for human rights on the right to privacy in the digital age.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bado naendelea kukutana na kufanya kazi na watu niliokutna nao katika jukwaa lile kamambe na nina matarajio ya kukutana na watu wengine tena wenye vipawa vya pekee katika global pulse 2010.

英语

i still meet and work with people i met in that truly remarkable jam and expect to meet other extraordinary individuals in global pulse in 2010.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ili kushiriki kwenye tukio hili la global pulse, unachohitaji ni kompyuta iliyounganishwa na mtandao - na pia huna budi kujiandikisha kabla (bila malipo).

英语

to join the global pulse event, you only need a computer and internet access - and you also have to register in advance (for free).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kuanzia tarehe 29 hadi 31 machi, vuguvugu linalojulikana kama global pulse 2010, yaani mapigo ya moyo ya ulimwengu 2010, linakusudia kuwakusanya jumla ya watu 20,000 kupitia mtandao ili wafanya mazungumzo kuhusu mada mbalimbali kuanzia zinazohusu maendeleo ya binadamu hadi sayansi na teknolojia.

英语

from march 29 to 31, global pulse 2010 aims to gather over 20.000 individuals and representatives of organisations in an online conversation dealing with topics ranging from human development to science and technologies.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

swali: je, global pulse inaweza kupendekeza viashiria vyenye ufanisi katika kufuatilia na kukabiliana na maendeleo ya kesi za ufisadi mkubwa kutoka zinapoanza kutajwa mpaka kwa wakala zinazopeleleza, kupitia mkurugenzi wa mashtaka, kuendelea mpaka kwenye mahakama na kuendelea wakati zikiwa mahakamani bado pasipo kuweka hatarini haki za mtu mmojammoja ili wapate hukumu ya haki au sifa yao isiharibike kabla ya kupatikana na hatia?

英语

query: can global pulse suggest effective indicators for tracking the progress of grand corruption cases from referral to the investigating agencies, through to the director of prosecutions, onward to the courts and progress while they are in court without compromising the individuals right to a fair trial/hearing or reputation before they are convicted?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
8,934,684,634 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認