您搜索了: shabaab (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kwa hiyo ni kwa nini wakati huo, al-shabaab?

英语

so why now, al-shabaab?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mtumiaji mwingine wa twitter aliwafananisha washambuliaji na wanamgambo wa vikundi vya al shabaab na boko haram:

英语

another twitter user compared the attackers to militants from the militant groups al shabaab and boko haram:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

robert alai aliweza kupata picha ya ukurasa huo unaodaiwa kumilikiwa na al-shabaab kabla haujaondolewa:

英语

robert alai was also able to capture an image of the al-shabaab alleged twitter page before it was taken down:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ilikuwa ni karata ya kukata tamaa, isiyo na uhakika iliyochezwa na al-shabaab kujaribu kurudi kwenye malengo yake.

英语

it was a desperate, high-risk gamble by shabaab to reverse its prospects.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

je, kutembea uchi yanaweza kuwa mbinu bora ya kufufua sekta ya utalii nchini kenya kufuatia mashambulizi ya wanamgambo wa al shabaab?:

英语

is going topless an effective strategy for reviving the kenyan tourism industry following attacks from militant group al shabaab?:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mtuhumiwa mkubwa wa mauaji haya ya halaiki ni kikundi cha wanamgambo wa al-shabaab kilicho na maskani yake nchini somalia kilichotangaza kuhusika na shambulizi hilo.

英语

the suspected mastermind of the massacre is the somalia-based al-shabaab militant group, which claimed responsibility for the attack.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@iamneshynsky: watu wasikimbilie kufanya mahitimisho na kuhisi ni shambulio la al shabaab...chochote kinawezekana katika tukio hilo #nairobiblast

英语

@iamneshynsky: people should stop jumping into conclusion and say its an al shabaab atack..it could be anything at this point #nairobiblast

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini baadae, anuani ya twita inayoaminiwa kuendeshwa na al-shabaab, kikundi cha kiislam cha kisomali, kilidai kuhsuika na shambulio hilo.

英语

but soon, a twitter handle believed to be controlled by al-shabaab, a somali islamist group, claimed responsibility for the attack.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kenya imekumbwa na mfululizo wa mabomu tangu majeshi ya nchi hiyo yaingie somalia kupambana na kikundi cha kigaidi cha al shabaab kwa kile kiichoitwa “operesheni linda nchi”.

英语

kenya has been hit with a series of bomb and grenade attacks in kenya since the country's military incursion into somalia against al shabaab dubbed “operation linda nchi” (swahili for “operation defend the country”).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa nyongeza, walibainisha kuwa, kutokuwepo kwa mpango mkakati wa muda mrefu wa namna ya kupambana na ugaidi nchini kenya unaweza kueleza sababu ya kuendelea kwa nguvu ya al-shabaab:

英语

additionally, they pointed out, a lack of a long-term strategic plan on how to combat terrorism by kenya may explain al-shabaab's continued potency:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

habari zilizochukua nafasi ya mbele kwenye vyombo vya habari vya kimataifa na vile vya ndani ya nchi kuhusiana na shambulio la kigaidi lililofanywa na wanamgambo wa al-shabaab kwenye chuo kikuu cha garissa, lililosababisha vifo vya watu 147, zimepata ukosoaji mkali.

英语

the international and local media coverage of the garissa university college shootings, which saw at least 147 people killed by al-shabaab militia, has been heavily criticised.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@mmnjug @qulshtm inafikirisha, ingawa nionavyo mimi ni kwaba al-shabaab inapanuka na kuwa kikundi cha kigaidi katika eneo hili la afrika, na wala sio kusambaratika. — charles onyango-obbo (@cobbo3) septemba 22, 2013

英语

@mmnjug @qulshtm interesting, though my analysis is that al-shabaab is metamorphosing into a regional terror group, not declining. — charles onyango-obbo (@cobbo3) september 22, 2013

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
8,941,251,603 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認