您搜索了: sisi biadamu wa roho moja (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

sisi biadamu wa roho moja

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

ulimwengu wa roho

英语

spirit world

最后更新: 2023-01-21
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mpenzi wangu wa roho

英语

my soul mate

最后更新: 2023-02-01
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

lakini aliyejiunga na bwana huwa roho moja naye.

英语

but he that is joined unto the lord is one spirit.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

tukiishi kwa msaada wa roho, na tuufuate mwongozo wake.

英语

if we live in the spirit, let us also walk in the spirit.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa sababu mnapokea wokovu wa roho zenu ambao ni lengo la imani yenu.

英语

receiving the end of your faith, even the salvation of your souls.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

neema ya bwana wetu yesu kristo upendo wa mungu baba ushirika wa roho mtakatifu uwe nasi sasa na hata milele zaidi amina.

英语

may the grace of our lord jesus christ the love of god the father the fellowship of the holy spirit be with us now and forever more amen.

最后更新: 2021-08-10
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

namwomba mungu, kadiri ya utajiri wa utukufu wake, awajalieni kwa uwezo wa roho wake, nguvu ya kuwa imara ndani yenu,

英语

that he would grant you, according to the riches of his glory, to be strengthened with might by his spirit in the inner man;

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

maombi ya neema na neema ya bwana wetu yesu kristo, na upendo wa mungu, na ushirika wa roho mtakatifu uwe nasi sote, sasa na milele.

英语

may the grace of our lord jesus christ, and the love of god, and the fellowship of the holy spirit be with us all, now and forever

最后更新: 2021-11-11
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

neema ya bwana wetu yesu kristo, na upendo wa mungu, na ushirika wa roho mtakatifu uwe pamoja nasi sote, sasa na hata milele. amina.

英语

may the grace of our lord jesus christ, and the love of god, and the fellowship of the holy spirit be with us all, now and evermore. amen.

最后更新: 2021-08-10
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

(g13-13) neema ya bwana yesu kristo na upendo wa mungu na umoja wa roho mtakatifu, viwe nanyi nyote.

英语

the grace of the lord jesus christ, and the love of god, and the communion of the holy ghost, be with you all. amen.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

maana vita vyenu si vita kati yetu na binadamu, bali ni vita dhidi ya jeshi ovu la ulimwengu wa roho; tunapigana na watawala, wakuu na wenye nguvu wanaomiliki ulimwengu huu wa giza.

英语

for we wrestle not against flesh and blood, but against principalities, against powers, against the rulers of the darkness of this world, against spiritual wickedness in high places.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

tuzo ya frederick douglass “huenzi uwezo wa kumudu wa roho ya binadamu na husisitiza kwamba wengi wa wanaonusurika utumwa wa ki-leo huendelea kuwasaidia na wengine kuwa huru”

英语

the frederick douglass award "honors the tremendous resilience of the human spirit and emphasizes that many of the survivors of modern-day slavery go on to help others to freedom."

最后更新: 2023-11-14
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

basi, mmoja wao aitwaye agabo alisimama, na kwa uwezo wa roho akabashiri kwamba kutakuwa na njaa kubwa katika nchi yote (njaa hiyo ilitokea wakati klaudio alipokuwa akitawala).

英语

and there stood up one of them named agabus, and signified by the spirit that there should be great dearth throughout all the world: which came to pass in the days of claudius caesar.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

basi, hivi ndivyo yesu kristo alivyozaliwa: maria, mama yake, alikuwa ameposwa na yosefu. lakini kabla hawajakaa pamoja kama mume na mke, alionekana kuwa mja mzito kwa uwezo wa roho mtakatifu.

英语

now the birth of jesus christ was on this wise: when as his mother mary was espoused to joseph, before they came together, she was found with child of the holy ghost.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,770,817,098 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認