您搜索了: takwimu za utambuzi za: (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

takwimu za utambuzi za:

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

takwimu za mwaka 2007 na 2008 hazijajumlishwa bado.

英语

figures for 2007 and 2008 were yet to be calculated.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

takwimu za usajili kwa mujibu wa data za hivi punde kutoka taasisi ya takwimu ya unesco.

英语

enrolment figures based on latest unesco institute of statistics data.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

takwimu za serikali zilitaja kuwa idadi ya waliopotezha maisha imefikia 6300.

英语

government statistics placed the number of dead at about 6,300.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

imoney.my wametengeneza mchoro unaoelezea takwimu za kufilisika nchini malaysia.

英语

imoney.my creates an infographic about bankruptcies in malaysia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@commsbh: sheria na kanuni zinakusudiwa kuhakikisha usalama wa takwimu za kimtandao na kuimarisha usalama wa simu za kimataifa na mitandao ya simu.

英语

@commsbh: legislations and regulations aim to ensure the protection of data and boost the security of international calls and telecom networks.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kielelezo hiki kimechukuliwa kutoka kwenye ripoti iliyotajwa hapo juu, inayoonyesha takwimu za ukatili wanaofanyiwa wasichana wa mitaani:

英语

this graph is taken from the above report, which shows statistics of violences inflicted upon street girls:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa mujibu wa takwimu za shirika la kutetea haki za binadamu duniani amenisty international, wasichana milioni 41 hawana fursa ya kupata elimu ya msingi.

英语

according to data backed up by amenisty international, 41 million girls can't even access elementary education.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ni vigumu kutoa maoni yaliyo sahihi kuhusiana na athari ya kampeni hizi za mtandaoni hasa kwa kuwa hakuna takwimu za hivi karibuni kuhusu matumizi ya zana za mawasiliano ya jamii nchini tanzania.

英语

it is hard to accurately comment on the impact of the ongoing online campaigns because of lack of up-to-date statistics on usage of social media tools in tanzania.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya miaka 50 ya kujitawala, ni aibu kuwa takwimu za uchumi wetu zinafanana na zile za nchi zenye machafuko vya vita, na nyingine zinafanya vizuri kuliko sisi katika maeneo mengi.

英语

after 50 years of self-rule, it is shameful that our economic statistics are equivalent to war-torn countries, some of which are now doing better than us in many areas.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ishara ya kuwa uchumi wa china upo karibu na kuwa wa pili kwa ukubwa duniani imejitokeza leo kutokana na toleo la takwimu za ukuaji (uchumi) za japani katika robo ya pili ya pili.

英语

indication that china's economy is close to second largest in the world came today with the release of japan's growth figures for the second quarter.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika miaka kumi iliyopita malawi imesajili kupungua sana kwa matumizi ya bandari ya beira nchini msumbiji, kwa mujibu wa takwimu za usafiri silizopatikana kutoka kwa mamlaka ya bandari hiyo.

英语

malawi has for the past ten years registered a sharp decline in the use of beira port in mozambique, according to traffic statistics sourced from the port’s authority.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mfumo huu hatimaye utawawezesha wafasiri binafsi kujenga mtandao, bila ya jitihada nyingine za ziada, ambapo wafasiri wanaofanya kazi katika sehemu moja au sehemu zinazofanana wanaweza kukusanya kwa pamoja takwimu za tafsiri na kushirikiana habari zenye umuhimu kwa kazi zao.

英语

this system will ultimately enable individual translators to form a network, without any additional or conscious effort, in which translators working on similar or related domains can collectively accumulate translation data and share information relevant to their translations.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ukiwa umefanywa kwa wakati mmoja katika kanda nzima, ni mara ya kwanza takwimu za ulinganisho zimemeza kupatikana katika nchi kuhusu aina ya vurugu ambazo wanawake wanakabiliwa nazo katika familia zao, kazini, katika umma na kwenye mtandao pamoja na athari inayo katika maisha yao na njia ambayo waathirika hukabiliana na uchokozi.

英语

undertaken simultaneously throughout the region, it is the first time comparative data has been available by country on the kinds of violence women suffer in their families, at work, in public and on the internet as well as the effect it has on their lives and the way in which victims respond to aggression.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kama ilivyosemwa katika utangulizi wa kitabu-pepe kicho, "katika mwanzo wa mileniam mpya, ilionekana kama bara la afrika lilikuwa limeachwa na jumuiya ya kimataifa.... takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa uchumi wa nchi nane unaokua kwa kasi zaidi duniani uko katika eneo la kusini mwa jangwa la sahara."

英语

as stated in the ebook introduction, "at the start of the new millennium, it felt as though the african continent was essentially written off by the international community... recent statistics suggest that nine of the fastest-growing economies in the world are in sub-saharan africa."

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,763,732,173 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認