您搜索了: uboreshaji (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

uboreshaji

英语

consultation

最后更新: 2019-09-20
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura

英语

improvement of the permanent voters register

最后更新: 2020-03-05
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mashirika ya kudhibiti ugonjwa nchini china yanaweza kujutia hili na kufanya uboreshaji muhimu siku za usoni.

英语

the disease control agencies in china may take this hard lesson and make critical improvements in the future.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

pamoja na juhudi zote hizi, madagaska inakabiliwa na mapungufu kadhaa yanayokwamisha uboreshaji wa mambo muhimu katika utoaji wa huduma ya afya.

英语

despite these efforts, madagascar is faced with certain weaknesses that hinder improvement in health indicators.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ripoti hizo zitatumiwa kutetea uboreshaji wa mifumo na utaratibu wa serikali,utekelezaji wa sheria na hivyo basi kupunguza visa vya ufisadi mtu anapotaka huduma za serikali.

英语

we will use them to argue for improving governance systems and procedures, tightening law enforcement and regulation and thereby reduce the scope for corruption in obtaining services from the government. we invite you to register any recent or old bribes you have paid.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wakiwa tayari na ujuzi wa maarifa haya mapya ya uboreshaji wa ramani pamoja na uanahabari wa kiraia, washiriki wamekuwa wakitembelea vijiji vya karibu ili kuboresha katika ramani taarifa za maeneo muhimu kama vile shule, barabara pamoja na hospitali.

英语

armed with these news skills in mapping and citizen journalism, participants have been going out into the surrounding rural villages to map key sites, such as schools, roads, and hospitals.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

pamoja na kuwa serikali ya japan inajitahidi kupiga hatua katika uboreshaji wa sera yake ya uwazi, nchi hii bado ina safari ndefu, kwani imeshika nafasi ya 30 kati ya nchi 70, kwa mujibu wa orodha liyoandaliwa na asasi ya ujuzi huru.

英语

even though the japanese government is working toward advancing its open data policy, the country has a ways to go, ranking 30th out of 70 countries, according to an index compiled by open knowledge foundation.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

chanjo hiyo ina msimbo wa jenitiki usio na madhara uliyonakiliwa kutoka kwa ugonjwa huo. uboreshaji unaotegemea kingamwili umependekezwa kama changamoto inayowezekana ya maendeleo ya chanjo ya sars-cov-2, lakini ina utata.

英语

the vaccine contains a harmless genetic code copied from the virus that causes the disease.antibody dependent enhancement has been suggested as a potential challenge for vaccine development for sars-cov-2, but this is controversial.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,736,333,999 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認