您搜索了: ufadhili (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

ufadhili

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

tunashukuru kwamba mashirika kadhaa yameiona kazi yetu kuwa ina thamani kwa ufadhili wao kifedha.

英语

we are grateful that a range of organizations have deemed our work to be worthy of their financial support.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

je, unayajua makampuni ya teknolojia nchini kenya yaliyopata ufadhili kwa mwaka 2014?

英语

do you know kenyan technology companies that got funded in 2014?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa ufadhili wa unicef, meena na kipindi chake cha televisheni amekuwa maarufu sana katika eneo hilo.

英语

promoted by unicef, meena and her tv show is very popular in the region.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

basi unahitaji kutuma maombi kwa ajili ya kupata ufadhili wa miradi midogo ya rising voice 2014!

英语

then you need to apply for the 2014 rising voices microgrant!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mnamo 13 machi, alitangaza hali ya dharura la taifa, ambayo ilifanya ufadhili wa jimbo kupatikana kushughulikia hali ya hatari.

英语

on 13 march, he declared a national emergency, which made federal funds available to respond to the crisis.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mchango wako utatusaidia kulipia gharama za kuwa mtandaoni, gharama za uendeshaji, miradi midogo ya ufadhili na wafanyakazi wa global voices.

英语

your donations help cover the cost of server space, administrative expenses, our microgrant programs and global voices staff.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa kuwa lengo la mkutano huu ni kwa ajili hasa ya waombaji wa zamani wa ufadhili, mwaliko ulitumwa awali kwa makundi hayo, na nafasi zote zimejaa.

英语

since the focus of this meetup is primarily for past microgrant applicants, the invitation was initally sent to these groups, and all of the slots are filled.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tazamia zahanati mpya kwenye jimbo la bahati, na ahadi za hiki na kile kwa watu wa ndorwa na naweza hata kuahidiwa ufadhili wa moja kwa moja kwa ajili ya kampeni yake ya kuchaguliwa tena.

英语

look out for a new clinic in bahati’s constituency, promises of this and that to the people of ndorwa and he might even be promised direct funding of his campaign for reelection.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa nyongeza, mwaka 2000, mradi wa rising voices uliendesha shindano la kupata ufadhili wa miradi midogo midogo hususani kwa miradi ya kuwafikia waandishi wa kiraia kutoka misri.

英语

in addition in 2010, rising voices held a microgrant competition specifically for citizen media outreach projects from egypt.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mnamo desemba 2014, rais alimwagiza waziri wa nchi kupitia upya haraka hadhi ya cuba kama nchi inayofadhili ugaidi, na kutoa taarifa kwake ndani ya miezi sita kuhusu ufadhili wa cuba kwa vitendo vya kimataifa vya ugaidi.

英语

in december 2014, the president instructed the secretary of state to immediately launch a review of cuba’s designation as a state sponsor of terrorism, and provide a report to him within six months regarding cuba’s support for international terrorism.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

gambia imekuwa na inaendela kufaidika na jumuiya ya mdola katika maeneo mengi ikiwa ni pamoja na elimu/ufadhili, michezo na hivi karibuni jumuiya hiyo ilipendekeza kuundwa kwa tume ya taifa ya haki za binadamu.

英语

gambia has and continued to benefit from commonwealth in diverse areas including education/scholarship, sports and most recently the commonwealth proposed national human rights commission.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

siku hiyo rais trump alitia sahihi sheria ya matumizi ya ziada ya mwitikio na matayarisho ya virusi vya korona, ambayo ilitoa bilioni $8.3 katika ufadhili wa dharura kwa mashirika ya shirikisho kushughulika na mkurupuko.

英语

on the same day president trump signed the coronavirus preparedness and response supplemental appropriations act, which provided $8.3 billion in emergency funding for federal agencies to respond to the outbreak.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ingawa bahrain ina idadi kadhaa ya vyuo vikuu, vya umma na binafsi, raia wengi wa nchi hiyo hupata fursa ya kwenda ng'ambo kwa masomo ya shahada ya kwanza na hata zile za juu, mara nyingi kwa kutegemea ufadhili.

英语

although bahrain has a number of universities, both government and private, many bahrainis have the opportunity to go abroad to pursue undergraduate and postgraduate studies, often by means of scholarships.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

huko riyadh, kikundi cha wanawake, baadhi yao wakiwa ni miongoni mwa ndugu wa suliman al-roushodi, ambaye ni kiongozi wa jumuia ya haki za kisiasa na kiraia ya saudi arabia, walikusanyika mbele ya jengo la utaifa na haki za binadamu lenye ufadhili wa serikali, mahalipofanyia maandamano mapema mwezi februari .

英语

in riyadh, a group of women, several of whom were relatives of suliman al-roushodi, head of the saudi civil and political rights association, gathered in front of the government-funded national society for human rights, where they had protested back in february.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,743,362,418 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認