您搜索了: ukuta wa wenyewe (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

ukuta wa wenyewe

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

ukuta wa china

英语

great wall of china

最后更新: 2015-04-16
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

ukuta wa berlini na natalie maynor

英语

berlin wall by natalie maynor

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

video: dunia yaadhimisha kuanguka kwa ukuta wa berlini

英语

video: the world commemorates the fall of the berlin wall · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

nimewahi kuwaona wakifanya hivyo kwenye ukuta wa vyoo vya umma!

英语

i have seen them doing this on the wall of the public toilets!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

ukuta wa shule ya normalistas ya “isidro burgos” huko ayotzinapa.

英语

wall of the normalistas school “isidro burgos” in ayotzinapa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

huku wakiwa wamekasirishwa sana na ushindi wa leung, walipambana na kusukumana na ukuta wa polisi.

英语

outraged by leung's victory, they pushed the police barricades.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

badala yake, angependa kuwaona wakitafuta watu 12 ambao picha zao amezitundika kwenye ukuta wa maabara yake ya kompyuta ya shule hiyo

英语

instead, he'd like to have them look up to the 12 people whose portraits he has hung up on the computer lab wall of his school

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

leo ni kumbukumbu ya 20 ya kuanguka kwa ukuta wa berlini, kizingiti madhubuti cha kiusalama ambacho kiliwahi kuligawa jiji la berlini katika pande mbili za mashariki na magharibi huko ujerumani.

英语

today is the 20th anniversary of the fall of the berlin wall, a complex security structure that once divided east and west berlin in germany.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

viwango vya dalili za ugonjwa wa moyo ni ya juu, kwa sababu ya ugonjwa wa mfumo wa kujibu uchochezi na mfumo wa kinga wakati wa maendeleo ya ugonjwa huo, lakini jeraha kali la ukuta wa moyo unaweza pia unahusiana na vipokezi za ace2 moyoni.

英语

rates of cardiovascular symptoms is high, owing to the systemic inflammatory response and immune system disorders during disease progression, but acute myocardial injury may also be related to ace2 receptors in the heart.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

kesi ya amina tyler, mwanaharakati wa femen raia wa tunisia, ambaye alikamatwa mei 19 baada ya kuchora neno femen kwenye ukuta wa makaburi ya kairouan, kilomita 184 kutoka mji mkuu wa tunis, itaendelea juni 5.

英语

the trial of tunisian femen activist amina tyler, who was arrested on may 19 after she graffitied the word femen on the wall of cemetery in kairouan, 184km from the capital tunis, will resume on june 5.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

sifa za picha za radiolojia na picha za kimatibabu vya kompyuta (ct) ya watu ambao wameambukizwa ni pamoja na sehemu ya mapafu yenye shinikizo duni yasiyo na uwiano na kukosekana kwa mkusanyiko wa majimaji kati ya ukuta wa kifua na mapafu.

英语

characteristic imaging features on radiographs and computed tomography (ct) of people who are symptomatic include asymmetric peripheral ground glass opacities and absent pleural effusions.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

mapenzi chenga yakikupiga unasurrender na wengi wakipendwa wanasahau kuna kutendwa mapenzi chenga yakikupiga unasurrender na wengi wakipendwa wanasahau kuna kutendwa wapi mkandarasi wa moyo wa ukuta wa mapenzi unadondoka kinacho ponza wengi ni moyo wakikalia kuti kavu wanadondoka wapi mkandarasi wa moyo wa ukuta wa mapenzi unadondoka kinacho ponza wengi ni moyo wakikalia kuti kavu wanadondoka unajisifu umempata kumbe alo mwacha anamfata anachotaka anakipata wanasema hawara hana talaka unajisifu umempata kumbe alo mwacha anamfata anachotaka anakipata wanasema hawara hana talaka naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) tena tochi ya mapenzi isinimulike nimeyaona bayana ndo maana sitaki kukumbuka ya jana alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana nimeyaona bayana ndo maana sitaki kukumbuka ya jana alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana kwani nini za mapendo ila yakaniteka mapenzi tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki umemteka kwa mali na cheki kumbe vyombo anakula muuza magazeti unayemwita bebi anaweza bebwa kama beki mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji unayemwita bebi anaweza akabebwa kama beki mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji unajisifu umempata kumbe alo mwacha anamfata anachotaka anakipata wanasema hawara hana talaka unajisifu umempata kumbe alo mwacha anamfata anachotaka anakipata wanasema hawara hana talaka naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) tena tochi ya mapenzi isinimulike

英语

i'm afraid of being invent

最后更新: 2019-12-21
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,761,685,236 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認