您搜索了: viwanda ni vitu muhimu ndani ya nchi (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

viwanda ni vitu muhimu ndani ya nchi

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

wizara ya mambo ya ndani ya nchi

英语

the prison forces

最后更新: 2024-01-08
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hivi ni busara na inashauriwa kweli kujiingiza kwenye vita vya ndani ya nchi iliyo kwenye umbali wa maili elfu mbili?

英语

is it wise and advisable to wade into a sectarian civil war two thousand miles away?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

groundviews anahoji sababu ya kuvilipa vyombo vya habari vya kimataifa kwa ajili ya uchaguzi wa ndani ya nchi.

英语

groundviews questions what is the point of paying global media for local elections.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alishiriki mahojiano kadhaa, akichambua majanga kadhaa ambayo yamekuwa yakitokea hivi karibuni ndani ya nchi ya guinea-bissau.

英语

she offered some interviews, analyzing some of the crises currently occurring within guinea-bissau.

最后更新: 2024-03-20
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

dilip d'souza katika death ends fun anatukumbusha kuwa india inapaswa kuchukua hatua kuhusu ugaidi ulioasisiwa ndani ya nchi:

英语

dilip d'souza at death ends fun reminds that india should also do something about the homegrown terror:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

anaeleza kuwa hatua yoyote ya kuingilia mambo ya syria itailazimisha serikali ya pakistani kuanza kutazama kwa makini kukua kwa ghasia za kidini ndani ya nchi:

英语

he explains that any interference in syria will force the pakistani state to pay attention to rising sectarian violence in the country:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lengo lake lilikuwa kuchapisha kitabu kupitia kickstarter mradi ambao ungehusisha picha zake kuweka kumbukumbu za maisha ndani ya nchi hiyo kuanzia mwaka 1987 mpaka kufikia mabadiliko ya kihiistoria ya hivi karibuni.

英语

he plans to publish a book through a kickstarter project that would include his photographs documenting life inside myanmar from 1987 through the recent historic transition.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

neumann pia anabaini kuwa mwaka 2009 pia ulishuhudia kupitishwa kwa vigezo vya kupima vyenye kasoro ambavyo havizitaki nchi wanachama kupata mapendekezo kutoka kwa asasi huru zisizo za kiserikali zenye makao ndani ya nchi wanachama.

英语

neumann also notes that 2009 saw the passing of a flawed review mechanism which doesn't require member states to seek input from independent ngo's based in their countries.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tunaitaka serikali ya china kupiga marufuku biashara hiyo ya tembo ndani ya nchi hiyo, kuyafunga maduka yote yanayouza bidhaa za pembe za ndovu na kufunga viwanda 37 vinavyomilikiwa na serikali vinavyotengeneza bidhaa hizo nchini kote.

英语

we also want the chinese government to ban its domestic ivory trade, to shut down the shops selling ivory products and to close down the 37 state-owned ivory carving factories across the country.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baadhi ya watumiaji wa twita wanaripoti juu ya majengo, mitaa au taarifa nyingine za muhimu kwa wale wanaotafuta familia zao au wale wanaojaribu kusafiri ndani ya nchi hiyo. @yatalley anaandika kuwa barabara inayotoka mji mkuu, port au prince, kuelekea mji wa jacmel haipitiki.

英语

some twitter users are reporting on specific buildings, streets, and other practical information for those looking for families or attempting to move throughout the country. @yatalley notes that the road from the capital, port-au-prince, to the town of jacmel is impassable:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, ni sawa kusema kuwa, mpaka sweden ilipoamua kwamba itapunguza msaada wake kwenye bajeti ya msumbiji mwaka jana, misuguano kati ya nchi wafadhili na na serikali inayopokea viliendelea kubaki ndani ya milango iliyofungwa.

英语

yet, it is safe to say that, until sweden decided that it would reduce its support to the mozambican budget last year, most of the tension between donor countries and the receiving government remained behind closed doors.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mpaka hapo tutakaupotambua ugaidi ulioasisiwa ndani ya nchi kwa jinsi ulivyo – na si pungufu ya ule ulioletwa kutoka nje ya nchi – na mpaka pale tutakaposimama dhidi ya ugaidi wa ain azote, hatutaweza kuushinda ugaidi.

英语

until we recognize homegrown terror for what it is — no less than anything from abroad — and until we stand against every kind of terror, we will never defeat terrorism.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

habari zilizochukua nafasi ya mbele kwenye vyombo vya habari vya kimataifa na vile vya ndani ya nchi kuhusiana na shambulio la kigaidi lililofanywa na wanamgambo wa al-shabaab kwenye chuo kikuu cha garissa, lililosababisha vifo vya watu 147, zimepata ukosoaji mkali.

英语

the international and local media coverage of the garissa university college shootings, which saw at least 147 people killed by al-shabaab militia, has been heavily criticised.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kukiwa na mpango kabambe wa kufuatilia watu waliogusana, vizuizi vya usafiri wa ndani wa ndani ya nchi, upimaji na karantini, janga la virusi vya korona 2020 nchini singapore vimeenea pole pole kuliko mataifa mengine yaliyoendelea, lakini bila vizuizi vya hali mbaya zaidi kama vile kulazimisha kufunga mikahawa na maduka ya rejareja.

英语

with aggressive contact tracing, inbound travel restrictions, testing, and quarantining, the 2020 coronavirus pandemic in singapore has proceeded much more slowly than in other developed countries, but without extreme restrictions like forced closure of restaurants and retail establishments.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

"washindi" wengine katika uchukuaji taarifa za matukio hayo ni blogu za ndani ya nchi kama vile namba.kz, kloop.kg, issyk-kulpress.kg (vilevile tovuti za habari za kawaida ama vile internews.kg, neweurasia.net na 24.kg), jukwaa la diesel.elcat.kg na kamera ya mtandaoni isiyotoa maneno (webcam) ikionyesha viwanja vya wazi vya ala-too (picha zake zilinaswa na kutumwa na wanablogu wengi).

英语

another "winners" in the coverage are the local blog-portals namba.kz, kloop.kg, issyk-kulpress.kg (as well as traditional news sites like internews.kg, neweurasia.net and 24.kg), forum diesel.elcat.kg and a wordless webcam showing ala-too square (its screenshots were captured and transmitted by many bloggers).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,766,565,425 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認