您搜索了: wajibu wa mpangaji (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

wajibu wa mpangaji

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

wajibu wa vyombo vya habari:

英语

media responsibility:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

korea: wajibu wa kitaifa wachuana na dhamiri

英语

korea: national duty vs conscience · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hija ni wajibu wa msingi, ambao kila mwislamu hutakiwa kuutimiza angalau mara moja katika maisha yake, inapowezekana.

英语

the haj is obligatory, in that every muslim is required to perform the pilgrimage at least once in his/her life, if feasible.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ni mradi mzuri unaojenga mazoea ya wajibu wa pamoja duniani, familia kidunia, na kuibua mjadala mkubwa.

英语

it is a brilliant initiative that creates a worldwide action, a global community, and a great dialogue.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

fanya hivyo alhamisi hii, oktoba 16 kwenye siku ya wajibu wa blogu duniani kwa kushirikiana na maelfu ya wanablogu wengine.

英语

do it this thursday, october 16 on blog action day together with thousands of other bloggers.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa nafasi yako kama mamlaka ya kimataifa iliyoaminiwa na wajibu wa kulinda na kuhamasisha mikataba ya ulimwengu ya haki za binadamu zinakupa dhima ya pekee.

英语

your position as the international authority entrusted with the responsibility for the protection and promotion of universal human rights accords you a special role.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tangu 2007, siku ya wajibu wa blogu imekuwa ikitumika kuwaweka pamoja wanablogu kutoka duniani kote ili kujadili mada muhimu zinazokuwa zimewekwa mezani.

英语

since 2007, blog action day have been gathering bloggers from around the world to put global important topics to the table.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kabila anailaumu rushwa na kuutupa mpira kwenye utawala wa mobutu na udhaifu wa maofisa wake yeye mwenyewe, badala ya kukubali wajibu wa matatizo ya serikali yake.

英语

kabila blames corruption on mobutu's legacy and the ineptitude of his own officials, rather than taking responsibility for his government's problems:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

desiree anamtolea mfano dinorah figuera, makamu wa rais wa kamati ya bunge inayoshughulika na familia aliyesema kwamba wajibu wa serikali ni kuzuia mimba hizo:

英语

desiree cited venezuelan deputy dinorah figuera, president of the family committee of the venezuelan national assembly, who said the state's responsibility is to provide prevention:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tulipofika saa 5:30 katika ukumbi wa michezo wa jindo ambapo ni kituo cha dharura, hakukuwa na mfanyakazi ambaye alikuwa na wajibu wa kuwaambia watu nini kinaendelea.

英语

when we arrived at 5:30 at the jindo gymnasium emergency center, there was not a single staff member who was responsible for telling people what's going on.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa kuwa yuda alikuwa na wajibu wa kuutunza mfuko wa fedha, baadhi yao walidhani kwamba yesu alikuwa amemwambia anunue vilivyohitajiwa kwa sikukuu, au kwamba alikuwa amemwambia akatoe chochote kwa maskini.

英语

for some of them thought, because judas had the bag, that jesus had said unto him, buy those things that we have need of against the feast; or, that he should give something to the poor.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

naschla aburman, rais wa feuc, aliviita vitendo hivyo vya usumbufu kama "matukio machache" na kusema kwamba vitendo hivyo havikuwa wajibu wa waandaaji.

英语

naschla aburman, president of feuc, labeled these disturbances as "isolated incidents" and stated that there are things that are outside of the responsibility of the organizers.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

kushiriki kwenye siku ya wajibu wa blogu, unaweza kuandikisha blogu yako kwenye tovuti maalum ya siku ya wajibu wa blogu - na bainisha kwamba unaweza kuandika makala yako katika lugha yoyote, kutoka nchi yoyote.

英语

to participate in blog action day, you can register your own blog on blog action day's website - and note that you can write your entry in any language, from any country.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

waume zao hawatumii kondomu na wanapenda wake zao watumie mbinu nyingine za kupanga uzazi; kwa hiyo njia rahisi inayopatikana kirahisi na yenye ufanisi ya kutumia kondomu haipendwi na wanaume, hiyo ikifanya suala la kujikinga na mimba zisizotarajiwa kuwa ni wajibu wa mwanamke.

英语

their husbands were not keen on using condoms and preferred that their wives used contraception instead; so the inexpensive, easily available and quite effective condom for men was not an option, leaving contraception entirely up to the women.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

pamoja na kuwa, hii si mara ya kwanza kwa watumiaji wa mtandao nchini china kulinganisha hali ya mambo kati ya china na marekani, wazo la “uraia” kwa mara nyingine tena limeibua mijadala sehemu mbalimbali kuhusiana na haki na wajibu wa watu wa china pamoja na hali ya kuikosoa serikali.

英语

though this is not the first time that chinese netizens have compared the circumstances of china and the u.s., the concept of “citizenship” has stirred yet another round of discussion about the rights and responsibilities of the chinese people, as well as criticism of the government.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

washiriki wa mazungumzo yetu hayo ya mtandaoni walikuwa ni pamoja na mwandishi wa gv syria, leila nachawati, mwanzilishi wa syria untold, mradi wa kupashana habari mtandaoni uliojikita kwenye mapinduzi ya amani yanayofanywa na wananchi wa syria; mhariri wetu wa runet echo kevin rothrock aliyezungumza kuhusu putin na mc cain opeds na namna wanavyotazamwa na mitandao ya urusi; amira al hussaini, mhariri wetu wa mashariki ya kati na afrika kaskazini, aliyegusia habari zilizikuwa zinaandikwa na vyombo vya habari vya kiraia na vyombo vikuu vya habari ndani ya mashariki ya kati na afrika kaskazini; solana larsen, mhariri mtendaji alizungumzia kuhusu wajibu wa vyombo vya habari vya kiraia katika taswira inayojengwa na vyombo vikuu vya habari kuhusu syria, ellery biddle mhariri wa utetezi aliyezungumza namna wito wa kuiomba marekani kuingilia kati mgogoro huo inavyotafsiriwa na raia wa marekani mtandaoni na ivan sigal mkurugenzi mtendaji aliyetoa maoni yake kuhusu namna habari za syria zinavyoumbwa kuwa vile zilivyo duniani kote.

英语

our hangout participants included gv syria author, leila nachawati, founder of syria untold, an online storytelling project dedicated to the non-violent syrian uprising; our runet echo editor kevin rothrock who spoke about the putin and mc cain opeds and how they were perceived by the russian internet; amira al hussaini, our mena editor, touched on citizen media and mainstream media coverage of syria within the middle east and north africa; solana larsen, our managing editor spoke about the role of citizen media in mainstream portrayal of syria, ellery biddle our advocacy editor spoke about how the calls for us intervention are being interpreted by us netizens, and ivan sigal our executive director gave his opinion on why syrian coverage is being shaped the way it is around the world.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,747,286,232 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認