您搜索了: wanadai (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

wanadai

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

walio kufuru wanadai kuwa hawatafufuliwa.

英语

the unbelievers think that they will never be raised up.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

waandamanaji hao wanadai kujiuzulu kwa waziri mkuu.

英语

protesters are demanding the resignation of the prime minister.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

walio kufuru wanadai kuwa hawatafufuliwa. sema: kwani?

英语

the faithless claim that they will not be resurrected.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wataalamu kadhaa wanadai hata hivyo, kuwa umaskini uliokithiri hauepukiki.

英语

various experts postulate, however, that extreme poverty isn't inevitable.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

rais wa feuc anasema wanafunzi wanadai "kushirikishwa kwenye mageuzi"..

英语

president of feuc says students want "participation in the reform".

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

baadhi ya wanaharakati wanadai kwamba mkataba wa barotseland unaruhusu kujitenga kutoka zambia.

英语

some activists in the region argue that the barotseland agreement provides for separation from the rest of zambia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wafanyakazi hao wanadai kuwa siku zote wamekuwa wawazi kwa malaka za moroko kuhusu ukristu wao, na hapajatokea tatizo lolote.

英语

staff members claim they have always been transparent about their christian identities to moroccan authorities, without incident.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

serikali inakadiria kundi la watu 6,500 lakini waandalizi wa maandamano wanadai kuwa wamewandaa watu zaidi ya 30,000 mitaani.

英语

the government estimated the crowd at 6,500 but rally organizers claimed they mobilized more than 30,000 people in the streets.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baadhi ya wagombea wanadai wameshinda kabla ya uchaguzi; wana maana kwamba wakuu wa taasisi zinazoendesha uchaguzi ni vibaraka wao.

英语

some candidates proclaim victory before the elections; they imply that the heads of the institutions which run the elections are obedient.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa miaka kadhaa mara kwa mara nimejikuta nawatetea wamarekani wanapokosolewa na wapinzani wao kama vile wafaransa na waarabu,ambao wanadai kuwa watu wa marekani ni mazuzu wabaguzi hayawani.

英语

over the years i have often found myself defending americans from such critics as the french or arabs, who charge the people of the u.s. are ignorant racist idiots.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ruhusa ya kwenda hospitali, halafu kuwa na ratiba iliyojaa muda mwingi na mwanao –ni afadhali kuliko kukaa kwenye seli ya magereza, wanadai.

英语

hospital leave, then lots of scheduled time with your child – it is all better than sitting in a stone cell, they claim.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jumuiya ya global voices na mtandao wa washirika wake wanadai haki kwa watu hawa, wote waliofanya kazi kwa bidii kupanua uwanja wa maoni ya kijamii na kisiasa nchini ethiopia kupitia blogu na uandishi wa habari.

英语

the global voices community and our network of allies are demanding justice for these men and women, all of whom have worked hard to expand spaces for social and political commentary in ethiopia through blogging and journalism.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

aécio neves amefungua mashtaka dhidi ya mtandao wa twita kudai taarifa za watumiaji 66 ziwekwe wazi; hivi sasa wanablogu wanadai anatumia anuani bandia kujaribu kupambana na wapinzani wake kwenye mtandao wa youtube.

英语

aécio neves has filed suit against twitter demanding it discloses information on 66 users; now bloggers claim he's using fake accounts to deal with negative youtube videos.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, wanamibia bado wanadai tamko rasmi ya kuomba radhi kutoka kwa serikali ya ujerumani kama tendai marima, mwanazuoni mtafiti wa fasihi za afrika , aliandika kwenye tovuti ya think africa press:

英语

however, namibians still demand a formal apology from the german government as tendai marima, a post-doctoral researcher in african literature, wrote on the think africa press website :

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

cha kushangaza, polisi mjini bangkok, thailand wanadai kwamba asilimia 30 ya ajali za barabarani husababishwa na 'magari yasiyostahili kuwa barabarani' wakati yanayo endeshwa kasi ni asilimia 5 ya ajali.

英语

interestingly, the bangkok police in thailand claims that 30 percent of road accidents is caused by 'unroadworthy cars' while speeding only accounts for 5 percent of accidents.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

huku ukiwa umepangiliwa ufanyike mwanzo wa kipindi cha pili cha rais park geun-hye madarakani, takribani wa-korea elfu 40 (polisi wanadai ni elfu 15) walifanya mgomo nchini kote.

英语

timed with the start of president park geun-hye's second year in office, about 40 thousand south koreans (police estimate 15 thousand) held protests across the country.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,734,795,710 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認