您搜索了: wanyama sabinina makazi yao (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

wanyama sabinina makazi yao

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

wanyama na makazi yao

英语

animals and their habitats

最后更新: 2017-03-17
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

orodha ya wanyama na makazi yao

英语

the list of animals and their habitats

最后更新: 2016-06-27
使用频率: 4
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

orodha ya wanyama na makazi yao zinaitwajez?

英语

the list of animals and their habitats

最后更新: 2018-03-19
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

orodha ya wanyama na makazi yao kwa. kingeleza. na kiswahili

英语

list of animals and their habitat for. circle. in swahili

最后更新: 2020-12-20
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wamepoteza makazi yao ya ridge?

英语

so they lost their ridge residence?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wengi wamepoteza makazi yao, biashara na mali zao.

英语

many lost their homes, businesses and possessions.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wengi zaidi wamelazimisha kulihama jimbo hilo ambalo kwa vizazi vingi limekuwa ndiyo makazi yao.

英语

many more have been forced to leave a province they've called home for generations.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mamilioni ya wahamiaji wa kipalestina na wale walioteguliwa kutoka kwenye makazi yao palestinians wanaishi sehemu mbalimbali duniani.

英语

millions more displaced and emigrant palestinians live around the world.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ujasiri wa mashujaa hao ulionekana pale walipokikabili kiwanda cha mabaki ya viumbe wa kale, ambacho kinaathiri makazi yao.

英语

the courage of the warriors was on full display as they faced off with the fossil fuel industry, which is threatening their homes.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika mashambulio yote mawili, shule hizo zilitumiwa kama hifadhi ya watu waliopoteza makazi yao kutokana na mashambulizi ya israeli.

英语

in both cases, the schools had been used as shelters for people displaced by israel’s offensive

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hadi sasa taasisi hii imeshapanuka kiasi cha kuwa mtandao wa kimataifa wa wataalamu wa tiba ambao jukumu lao ni kuwasaidia wahanga kujenga upya makazi yao na maisha yao.

英语

it has grown to become an international network of medical professionals who help victims rebuild their homes and livelihoods.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

“watu wa koodankulam wamekuwa wakipinga mitambo ya nyuklia kwa ustadi mkubwa uliojengwa katika makazi yao na kusababisha uonevu kwa miezi kadhaa sasa.

英语

“the people of koodankulam have been bravely fighting against the nuclear power plant which has come up in their homes and hearths for months now.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

tangazo likionesha kusisitiza msimamo wa kanisa katoliki katika jiji la tandag ambapo zaidi ya watu wa jamii ya lumad 2,000 walioyakimbia makazi yao walipatiwa hifadhi.

英语

the banner reflects the stand of the catholic church in tandag city where more than 2,000 lumad evacuees have sought shelter.

最后更新: 2024-04-11
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kodivaa ni nchi inayojikakamua kupata nafuu baada ya vita vikali vya wenyewe kwa wenyewe vilivyoua makumi ya maelfu ya watu na kuwahamisha malaki ya watu kutoka kwenye makazi yao kati ya mwaka 2002 na mwaka 2007.

英语

ivory coast is a country struggling to recover after a bloody civil war that resulted in ten of thousands dead and hundreds of thousands displaced between 2002 and 2007.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa kuwa chui wakubwa huishi misituni na mwituni katika maeneo tambarare na yale yenye milima na makazi yao ni aina tofauti sana. makazi yao nchini taiwan yanasumbuliwa kwa sababu ya miradi mipya ya ujenzi.

英语

since the big cats live in the forests and jungles in both plains and in hilly areas and their home range is very broad, their habitats in taiwan are easily disturbed by new construction projects.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wakati watu wanahitaji kutoka manyumbani mwao au katika makazi yao, iwe ni kupata au kutekeleza kazi zilizotajwa hapo juu, au kuwezesha shughuli muhimu zilizoidhinishwa, wanapaswa kujitenga na watu kila wakati.

英语

when people need to leave their homes or places of residence, whether to obtain or perform the functions above, or to otherwise facilitate authorized necessary activities, they should at all times practice social distancing.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

viongozi wa lumad kutoka kwenye jimbo la surigao walitaarifu kuwa vikundi vya wanamgambo vilivamia shule zao pamoja na wanajamii, hali iliyolazimu zaidi ya watu 2,000 kuyakimbia makazi yao maeneo ya milimani na kutafuta hifadhi katika maeneo ya jiji.

英语

lumad leaders from surigao province reported that paramilitary groups have attacked their schools and communities, forcing more than 2,000 people to leave their homes in the mountains and seek shelter in the city center.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mapema wiki iliyopita, mke wa rais wa zamani, nana konadu agyemang rawlings alikuwa na mahojiano na joy fm mjini accra ambayo kwayo aliongelea kwa upana kuhusu jinsi ambavyo maisha yake ya kifamilia yalivyoathirika baada ya kupoteza makazi yao ya ridge.

英语

earlier last week, the former first lady, nana konadu agyemang rawlings granted an interview to joy fm in accra in which she spoke widely about how her family life has been affected after they lost the ridge residence.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa siku kadhaa za mwezi septemba, kiungo habari cha twitter#stoplumadkillings‬‬ kilipata umaarufu miongoni mwa raia wa mtandaoni wa nchini ufilipino pale walipotumia mitandao ya kijamii kama namna ya kuwaunga mkono watu wa jamii ya lumad waliofukuzwa kwenye makazi yao.

英语

for several days in september, the twitter hashtag #stoplumadkillings‬‬ trended in the philippines when filipino netizens turned to social media to express their solidarity with the displaced lumad.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

familia za punjabi zinazoishi kwenye jimbo la balochistani kwa miongo mingi kwa sasa wamepachikwa majina ya vikundi vingine kama “walowezi” wasiohitajika, mamia wakiwa wameshauawa kwenye mashambulio na maelfu wakiwa wamelazimika kuyakimbia makazi yao kwa sababu ya ghasia.

英语

punjabi families who have lived in balochistan for decades are now branded by some groups as unwanted “settlers”, hundreds have been killed in attacks and thousands forced to flee the violence.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,762,913,328 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認