您搜索了: wasomi (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

wasomi

英语

elite

最后更新: 2022-02-13
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

tunahitaji wasomi zaidi nchini tajikistan kama alex.

英语

we need more scholars on tajikistan like alex.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wasomi wetu hawafikiri kwa kujitegemea kwa sababu hakuna walichojifunza wanachokielewa.

英语

our educated elites do not think independently because they do not understand what they studied.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

idadi ya wasomi wamejaribu kuhesabu nambari hizi kwa idadi ya watu maalum.

英语

a number of academics have attempted to calculate these numbers for specific populations.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kisa cha yang huenda kikatoa mwanga kuhusu matatizo ya kijamii yanayowakabili wasomi wetu.

英语

yang's case may shed some lights on the problem faced by our social elites.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

moja ni tabaka la wasomi wanaokataa kusherehekea siku hiyo mpaka matakwa yote ya kisiasa na kiraia yatekelezwe.

英语

one is the intellectual elites who refuse to celebrate such a day until all political and civil demands are met.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

paul a kijuu alitoa maoni kwa kiswahili akisema kwamba kiingereza kimegeuza tabaka la wasomi kuwa maroboti:

英语

paul a kijuu commented in swahili saying that english has turned the educated class into robots:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

bloga wa kimarekani anayeishi palestina, anaandika yale wasomi wa uingereza wanayosema kuhusu mashambulizi ya israeli huko gaza:

英语

the american blogger, who lives in palestine, then wrote about how academics in the united kingdom are reacting to the israeli attack on gaza:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

barua imetiwa sahihi na electronic frontier foundation, vía libre, digital rights ngo, miongoni mwa wasomi wengine na wataalam.

英语

the letter is signed by electronic frontier foundation, vía libre, digital rights ngo, among other academics and experts.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika siku hii, pia, kongamano la kimataifa la tatu la kibulgeria lilianza, likikusanya wasomi karibu 500 kutoka nchi 34 kwenye chuo kikuu cha sofia.

英语

on this day, too, the third international bulgarian studies congress began, bringing nearly 500 scholars from 34 countries to the university of sofia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

utafiti wa kimataifa wa chanjo na dawa za covid-19 unaendelezwa na mashirika ya serikali, vikundi vya wasomi, na watafiti wa tasnia.

英语

international research on vaccines and medicines in covid-19 are underway by government organisations, academic groups and industry researchers.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika mtandao wa nyasanet, swali la ni nani atakayechaguliwa kwenye baraza la mawaziri linajadiliwa katika msingi wa wasomi waliochaguliwa kuingia kwenye baraza la wawakilishi, ambalo linafananishwa na kongamano la wasomi.

英语

on the internet forum nyasanet, the question of who will be chosen to fill cabinet posts is being debated on the basis of the intelligentsia voted into the legislature, which is being likened to an academic symposium.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

jambo la kushangaza zaidi, ushuhuda wa zhong biao na wei xing, kama ulivyonukuliwa kwenye barua hiyo, uliandaliwa maalumu kwa ajili ya mdahalo huu lakini umenukuliwa kama kwamba watu hao wawili ni wasomi wanaofahamika vema sana na umma.

英语

interestingly, the two accounts of zhong biao and wei xing, quoted in the letter, were set up for the purpose of this debate but quoted as if the two individuals were well-known public intellectuals.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mozfest afrika mashariki ni tukio la kila mwaka linalowaleta pamoja wataalam wa elmu, wabunifu, wasomi na mafundi wa afrika mashariki kujaribu kujadili namna ya kujenga mtandao kwa pamoja kwa kuweka msingi wa ukuaji wa mtandao wa intaneti na teknolojia ya habari barani afrika.

英语

mozfest east africa is an annual event that brings together educators, innovators, learners and makers from east africa and beyond to share experiences and build the web together laying a foundation for growth of the internet and information technology in africa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

zaidi ya wanafunzi 70 waliohitimu elimu ya chuo kikuu na wasomi wa nchini irani wametoa wito wa kuachiwa kwa hamed saber, ambaye ni mwanablogu-mpiga picha na mwanasayansi wa kompyuta wa nchini humo aliyekamatwa pasipo sababu za kuelewekea mnamo tarehe 21 juni 2010 jijini tehran.

英语

more than 70 iranian university graduates and academics are calling for the release of hamed saber, an iranian photo-blogger and computer scientist who was arrested for unknown reasons on 21 june 2010 in tehran.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika insha yake ya pili, "wakati ni huu", williams anapendekeza kwamba "kundi la wasomi, wahariri na wasanifu wenye visheni ... wanaosukumwa na roho chipukizi na ya kijasiriamali" hawana budi "kuchukua changamoto ya kuunda mahali katika mtandao patapotumiwa na waandishi na washairi wetu wanaohangaika ili kuwasaidia waweze kusimama kwa miguu yao ili kwa upande wao nao pia walete maarifa na msisimko mpya."

英语

in his second essay, "now is the time", williams proposes that "a group of intellectual, editorial and it visionaries with ... pioneering spirit and the entrepreneurial drive" ought to "take up the challenge of creating an online home for our struggling writers and poets to help them stand on their feet so they in turn can help usher in a new dawn of knowledge and enlightenment."

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,761,889,305 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認