您搜索了: lililoko (斯瓦希里语 - 西班牙语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Spanish

信息

Swahili

lililoko

Spanish

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

西班牙语

信息

斯瓦希里语

shirika lililoko huko boston linatafuta madaktari

西班牙语

una organización de boston está buscando doctores voluntarios estamos buscando cirujanos ortopédicos y otro personal médico.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwaka 2007, maelfu ya watu waishio kwenye jiji xiamen lililoko mashariki mwa china walipinga kujengwa kwa kiwanda kama hicho.

西班牙语

en 2007, en la ciudad de xiamen , al este de china, salieron a protestar en contra de la construcción de una planta px.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maendeleo hayo yamewashawishi baadhi ya wamiliki kuzitangaza wazi sehemu zao, kama vile bango moja kubwa lililoko kwenye mji mkongwe wa blatyre lilivyoashiria jumapili asubuhi.

西班牙语

la novedad ha provocado que algunos propietarios anuncien abiertamente sus inmuebles, como indicaba un anuncio en blantyre old town la mañana del domingo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

zabibu zikakamuliwa ndani ya hilo shinikizo lililoko nje ya mji, na damu ikatoka katika shinikizo hilo mtiririko mrefu kiasi cha mita mia tatu na kina chake kiasi cha mita mia mbili.

西班牙语

y el lagar fue pisado fuera de la ciudad, y salió sangre del lagar hasta la altura de los frenos de los caballos, a lo largo de 1.600 estadios

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lilijengwa miaka 120 iliyopita, sinagogi la musmeah yeshua lililoko eneo la yangon ni sinagogi pekee la wayahudi lililoyobaki katika eneo linaloongozwa na waumini wa dini ya kibudha waishio nchini myanmar.

西班牙语

construida hace 120 años, la sinagoga musmeah yeshua, en yangon, es la única sinagoga judía que queda en el país de myanmar, cuya población es mayoritariamente budista.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jumba la kumbukumbu la the walters art lililoko baltimore, maryland limechapisha zaidi ya picha elfu kumi na tisa kwenye mkusanyiko wa wikimedia commons na kuziweka chini ya leseni creative-commons.

西班牙语

el museo de arte walters en baltimore, maryland, ee.uu., ha publicado más de 19,000 imágenes de su colección en wikimedia commons, poniéndolas así bajo una licencia creative-commons.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mtu mmoja akiwa ameongozana na mwenzake waliingia kwenye duka lililoko kwenye jiji la huancayo nchini peru, wakisema walikuwa wanataka kununua pombe, na mmiliki alipokuwa amepumbazwa kidogo, jamaa walibeba boksi la shampoo.

西班牙语

el hombre y su cómplice entraron a una tienda en la ciudad peruana de huancayo con el pretexto de comprar licor y ante un descuido de la dueña, se apoderaron de una caja de champú.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katikati ya mwezi aprili, zaidi ya wasichana 200 wa shule walitekwa nyara kutoka shule ya sekondari iliyoko eneo la chibok, naijeria, kitendo kinachodaiwa kufanywa na boko haram, kundi la kigaidi lililoko katika eneo la kaskazini mwa nchi hiyo.

西班牙语

a mediados de abril, más de 200 chicas en edad escolar fueron secuestradas de una escuela secundaria en chibok, nigeria, por boko haram, un grupo terrorista de la región norte del país.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kutokana na kuzuka tena kwa virusi vya ebola katika jamhuri ya kidemokrasi ya kongo, serikali ya angola imeamua kufunga mpaka kati ya nchi hizo mbili, katika jaribio la kuzuia kuingia kwa virusi hivyo hatari katika himaya ya taifa hilo., hivyo kusitisha mara moja uhamiaji wa kawaida unaoendelea kati ya lunda norte (jimbo lililoko kaskazini mashariki ya nchi) na jamhuri ya kidemokrasi ya kongo.

西班牙语

debido a una nueva epidemia del virus del ébola en la república democrática del congo, el gobierno angoleño ha decidido cerrar las fronteras que comparten ambos países, en un intento por evitar la entrada del virus mortal al territorio de la nación. además, el movimiento migratorio constante entre lunda norte (una provincia al norte del país) y r.d. del congo ha sido suspendido sumariamente.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,765,504,292 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認