您搜索了: hatimaye (斯瓦希里语 - 阿拉伯语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Arabic

信息

Swahili

hatimaye

Arabic

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

阿拉伯语

信息

斯瓦希里语

hatimaye, nawatakeni muwe imara katika kuungana na bwana na kwa msaada wa nguvu yake kuu.

阿拉伯语

اخيرا يا اخوتي تقووا في الرب وفي شدة قوته.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maandamano ya mshikamano ya watu wa shia yaliyoendeshwa kwenye takribani majiji 100 katika maeneo mbalimbali ya pakistan hatimaye yamefikia tamati.

阿拉伯语

وصلت أخيراً احتجاجات التضامن مع الشيعة التي عقدت في أكثر من مائة مدينة في أنحاء باكستان لنهاية المطاف.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na hatimaye, timu ya kandanda ya wamisri mara nyingi humwongeza nyota mwingine kwenye jezi zao kila mara wanaposhinda kombe la mataifa ya afrika.

阿拉伯语

أخيراً، غالباً ما يضيف المنتخب المصري نجمة عندما يفوزون بكأس الأمم الأفريقية، لكن عادل غالي يتساءل هنا إن كان هناك مكان لنجمة أخرى:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

iliichukua serikali siku nne kujadili jambo hili; hatimaye ilituma ujumbe kuashiria kusitishwa kwa maandamano ya siku nne ya kukaa mahali pamoja.

阿拉伯语

استغرق الأمر للحكومة أربعة أيام لتسوية هذه المسألة، وأخيرا، هذا يشير إلى نهاية سلمية لاعتصامات التي استمرت لمدة الأربعة أيام طويلة.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na video hii inawaonyesha kaka wawili wa ki-kongo waliotengana kwa miaka 15 na hatimaye kukutana kwa mara ya kwanza kwenye zana ya mtandaoni ya google hangout on air baada ya kufahamishana mahali walipo kupitia mtandao wa shirika la refugees united.

阿拉伯语

وهذا الفيديو يوضح أخوين من الكونجو، افترقت بهم السبل لخمس عشرة سنة وكيف تقابلوا على جوجل هانج أوت لأول مرة عبر منصة المنظمة.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hatimaye karani wa mji alifaulu kuwanyamazisha, akawaambia, "wananchi wa efeso, kila mtu anajua kwamba mji huu wa efeso ni mlinzi wa nyumba ya mungu artemi na mlinzi wa ile sanamu iliyoanguka kutoka mbinguni.

阿拉伯语

ثم سكّن الكاتب الجمع وقال ايها الرجال الافسسيون من هو الانسان الذي لا يعلم ان مدينة الافسسيين متعبدة لارطاميس الالاهة العظيمة والتمثال الذي هبط من زفس‎.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

aidha, ugavi wa umeme usioaminika unagusa maisha ya idadi kubwa ya watu nchini humo.feowl ni mradi mpya unaotaribiwa na jamii unaolenga kukusanya, kusaili na hatimaye kutoa takwimu ambazo kwa sasa hazipatikani juu ya athari za ugavi duni wa umeme huko douala, eneo linalosifika kwa shughuli za uchumi nchini humo.

阿拉伯语

ويعتبر باقي السكان أيضاً فقر مصادر الكهرباء الغير معول عليها مشكلة لهم. فظهرت مبادرة feowl، وهي مبادرة مجتمعية تهدف إلى سد النقص المعلوماتي في مجال فقر الطاقة في دوالا، المركز الاقتصادي في الكاميرون.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,762,705,235 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認