您搜索了: cells (英语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

cells

斯瓦希里语

maini

最后更新: 2020-02-07
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

t helper cells produce proinflammatory cytokines to help the defending cells.

斯瓦希里语

seli za t helper huzalisha molekuli za saitokini zinazosaidia hali ya kuchomeka ili kusaidia kulinda seli.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

does the virus also bind ace2-expressing cells in other organs?

斯瓦希里语

je, virusi hivi pia vinaunganisha seli zinazoonyesha ace2- katika viungo vingine?

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

however, cov can inhibit t cell functions by inducing apoptosis of t cells.

斯瓦希里语

hata hivyo, cov huweza kuzuia utendakazi wa seli za t kwa kusababisha kuuawa kwa seli za t.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

to be staying in its dark cells isn't a punishment, but a preventive measure.

斯瓦希里语

kuwekwa katika vyumba vyake visivyo na mwanga wala si adhabu, bali ni hatua ya kutoa kinga tu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

t lymphocytes including cd4+ and cd8+ t cells play an important role in the defense.

斯瓦希里语

seli nyeupe za damu za aina ya t ikiwa ni pamoja na cd4+ na cd8+ seli aina ya t zinaweza kuwa na jukumu muhimu katika kukinga mwili.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

amer daoud and his wife raghda hassan first met and fell in love as political prisoners in the cells of a syrian prison 15 years ago.

斯瓦希里语

amer daoud pamoja na mke wake raghda hassan kwa mara ya kwanza walikutana na kuwa wapenzi wakiwa kama wafungwa wa kiasiasa kwenye seli za magereza ya syria takribani miaka 15 iliyopita.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

al-bilasi talked about the inhumane conditions in the cells: "it was small and overcrowded.

斯瓦希里语

al-bilasi alisimulia kuhusu hali ya mbaya na unyama katika selo:.. ".

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

英语

patients have normal or reduced number of peripheral white blood cells (especially lymphocytes) at the early stage.

斯瓦希里语

wagonjwa wana idadi ya kawaida au iliyopungua ya seli nyeupe za damu za pembeni (hasa lymphocytes) katika awamu ya awali.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

ace2 is a single-pass type i membrane protein, with its enzymatically active domain exposed on the surface of cells in lungs and other tissues.

斯瓦希里语

ace2 ni protini ya utando wa aina i ya njia moja, kikoa chake kinachotumika cha kumeng'enya kikiwa kwenye sehemu ya juu ya seli katika mapafu na tishu nyingine.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

and thy lord taught the bee to build its cells in hills, on trees, and in (men's) habitations;

斯瓦希里语

na mola wako mlezi amemfunulia nyuki: jitengenezee majumba yako katika milima, na katika miti, na katika wanayo jenga watu.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

the sars coronavirus, for example, infects human cells by attaching to the angiotensin-converting enzyme 2 (ace2) receptor.

斯瓦希里语

virusi vya korona vya sars, kwa mfano, huambukiza seli za binadamu kwa kuambatisha kipokezi cha (ace2) cha kimeng'enya 2 cha kubadilisha angiotensin.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

previous work on sars-cov is being utilised because sars-cov and sars-cov-2 both use the ace2 receptor to enter human cells.

斯瓦希里语

kazi za awali za sars-cov zinatumika kwa sababu sars-cov na sars-cov-2 vyote vinatumia kipokezi cha ace2 ili kuingia kwenye seli za binadamu.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

ace2 is present in most organs: ace2 is attached to the cell membrane of mainly lung type ii alveolar cells, enterocytes of the small intestine, arterial and venous endothelial cells and arterial smooth muscle cells in most organs.

斯瓦希里语

ace2 inapatikana katika viungo vingi: ace2 imeambatishwa kwenye utando wa seli za alveola aina ii za mapafu, enterosaiti ya utumbo mdogo, mishipa na seli za mwisho za vena na seli za mishipa laini ya misuli katika viungo vingi.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

this entry process also requires priming of the s protein by the host serine protease tmprss2, the inhibition of which is under current investigation as a potential therapeutic.this has led some to hypothesize that decreasing the levels of ace2, in cells, might help in fighting the infection.

斯瓦希里语

mchakato huu wa kuingia unahitaji pia utayarishaji wa protini s na vizuia protini vya serine kuu ya tmprss2, uzuiaji ambao unachunguzwa kwa sasa kama matibabu yanayowezekana. hii imesababisha wengine kudhania kwamba kupunguza viwango vya ace2, katika seli, kunaweza kusaidia kukabiliana na maambukizi.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

cell

斯瓦希里语

mboni

最后更新: 2021-06-08
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,734,398,241 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認