您搜索了: coin (英语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

coin

斯瓦希里语

sarafu

最后更新: 2015-07-29
使用频率: 3
质量:

参考: Wikipedia

英语

thus, does god coin his parables.

斯瓦希里语

hivi ndivyo mwenyezi mungu anavyo piga mifano.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

so coin not similitudes for allah.

斯瓦希里语

basi msimpigie mwenyezi mungu mifano.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

such similitudes coin we for mankind that haply they may reflect.

斯瓦希里语

na hiyo mifano tunawapigia watu ili wafikiri.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

lo! allah disdaineth not to coin the similitude even of a gnat.

斯瓦希里语

hakika mwenyezi mungu haoni haya kutoa mfano hata wa mbu na ulio wa zaidi yake.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

on the flip side of the coin, the announcement angered the pro-morsi.

斯瓦希里语

kwa upande mwingine wa shilingi, tamko hili liliwaghadhabisha wafuasi wa morsi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

see how they coin similitudes for thee, so that they are all astray and cannot find a road!

斯瓦希里语

tazama jinsi wanavyo kupigia mifano. basi wamepotea, wala hawataiweza njia.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

as for these similitudes, we coin them for mankind, but none will grasp their meaning save the wise.

斯瓦希里语

na hiyo ni mifano tunawapigia watu, na hawaifahamu ila wenye ilimu.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

now send one of you to the city with this coin of yours and let him see who has the best food, and let him buy some provisions from there.

斯瓦希里语

hebu mtumeni mmoja wenu na hizi fedha zenu ende mjini, akatazame chakula chake kipi kilicho bora kabisa akuleteeni cha kukila.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

and coin for them the similitude of the life of the world as water which we send down from the sky, and the vegetation of the earth mingleth with it and then becometh dry twigs that the winds scatter.

斯瓦希里语

na wapigie mfano wa maisha ya dunia. hayo ni kama maji tunayo yateremsha kutoka mbinguni, yakachanganyika na mimea ya ardhi, kisha hiyo mimea ikawa vibuwa vinavyo peperushwa na upepo.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

coin for them a similitude: the people of the city when those sent (from allah) came unto them;

斯瓦希里语

na wapigie mfano wa wakaazi wa mji walipo wafikia walio tumwa.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

"when justice is spared, we collect coins", says tagline of koin keadilan, coins for justice, a new website dedicated to collect coin donation to pay prita's fine.

斯瓦希里语

“pale haki inapokiukwa, tunakusanya sarafu”, anasema kauli mbiu ya koin keadilan, sarafu kwa ajili ya haki, ambayo ni tovuti mpya iliyojikita katika kukusanya sarafu hizo ili kulipa faini aliyotozwa prita.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia
警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,761,938,311 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認