您搜索了: cyprus (英语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

cyprus

斯瓦希里语

kupro

最后更新: 2015-04-14
使用频率: 2
质量:

参考: Wikipedia

英语

and when we had launched from thence, we sailed under cyprus, because the winds were contrary.

斯瓦希里语

kutoka huko tuliendelea na safari, lakini kwa kuwa upepo ulikuwa unavuma kwa kasi kutujia kwa mbele, tulipitia upande wa kisiwa cha kupro ambapo upepo haukuwa mwingi.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

so they, being sent forth by the holy ghost, departed unto seleucia; and from thence they sailed to cyprus.

斯瓦希里语

basi, barnaba na saulo walipokwisha tumwa na roho mtakatifu, walishuka hadi seleukia, na kutoka huko walipanda meli hadi kisiwa cha kupro.

最后更新: 2023-07-03
使用频率: 2
质量:

参考: Wikipedia

英语

and some of them were men of cyprus and cyrene, which, when they were come to antioch, spake unto the grecians, preaching the lord jesus.

斯瓦希里语

lakini baadhi ya waumini waliotoka kupro na kurene, walikwenda antiokia wakautangaza huo ujumbe kwa watu wa mataifa mengine wakiwahubiria ile habari njema juu ya bwana yesu.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

and the contention was so sharp between them, that they departed asunder one from the other: and so barnabas took mark, and sailed unto cyprus;

斯瓦希里语

basi kukatokea ubishi mkali kati yao, na wakaachana. barnaba akamchukua marko, wakapanda meli kwenda kupro.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

now when we had discovered cyprus, we left it on the left hand, and sailed into syria, and landed at tyre: for there the ship was to unlade her burden.

斯瓦希里语

baada ya kufika mahali ambapo tuliweza kuona kupro, tulipitia upande wake wa kusini tukaelekea siria. tulitia nanga katika mji wa tiro ambapo ile meli ilikuwa ipakuliwe shehena yake.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

and joses, who by the apostles was surnamed barnabas, (which is, being interpreted, the son of consolation,) a levite, and of the country of cyprus,

斯瓦希里语

kulikuwa na mlawi mmoja, mzaliwa wa kupro, jina lake yosefu, ambaye mitume walimwita jina barnaba (maana yake, "mtu mwenye kutia moyo").

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia
警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,730,223,271 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認