来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
social hazards such as the use of illegal drugs to keep children inside the tunnels awake for hours are also a regular feature of the country's mines.
matumizi ya vitu hatarishi kwa jamii kama vile madawa ya kulevya ya kuwafanya watoto waingie migodini na kufanya kazi kwa muda mrefu ni mambo ya kawaida kwenye migodi.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
engineering controls involve isolating employees from work-related hazards without relying on worker behavior, and can be the most cost-effective solution to implement.
udhibiti za uhandisi zinahusisha kutenga wafanyakazi kutoka hatari zinazohusiana na kazi bila kutegemea tabia ya wafanyakazi, na inaweza kuwa yenye suluhisho yenye gharama nafuu kutekeleza.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
all types of ppe must be selected based upon the hazard to the worker, properly fitted as applicable (e.g., respirators), consistently and properly worn, regularly inspected, maintained, and replaced, as necessary, and properly removed, cleaned, and stored or disposed of to avoid contamination.
aina zote za ppe lazima zichaguliwe kulingana na hatari kwa mfanyakazi, na kuvaliwa vyema inavyotakikana (k.m., mashine za kusaidia kupumua), kila wakati na kuvaliwa vizuri, kukaguliwa mara kwa mara, kudumishwa, na kubadilishwa, inavyotakikana, na kuondolewa vizuri, kusafishwa, na kuwekwa au kutupwa kuzuia maambukizi.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量: