您搜索了: quarantine (英语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

quarantine

斯瓦希里语

karibiana

最后更新: 2020-03-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

should the quarantine time be extended to 24 days?

斯瓦希里语

je, muda wa karantini unapaswa kuongezwa hadi siku 24?

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

russia deployed facial recognition technology to detect quarantine breakers.

斯瓦希里语

urusi ilieneza teknolojia ya utambuzi wa uso ili kuwagundua wavunja sheria ya karantini.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

thailand is using an app and sim cards for all travelers to enforce their quarantine.

斯瓦希里语

nchini thailand inatumia programy na sim kadi kwa wasafiri wote ili kutekeleza muda wao wa karantini.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

the strongest self-quarantine instructions have been issued to those in high risk groups.

斯瓦希里语

maagizo makali kuhusu kujiweka karantini yametolewa kwa wale walio katika vikundi vilivyo katika hatari kubwa.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

however, via strict quarantine and isolation, the disease has eventually been put under control.

斯瓦希里语

hata hivyo, kupitia kanuni madhubuti ya karantini na kutenga watu, ugonjwa huu hatimaye umedhibitiwa.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

the measure was taken to enforce quarantine and protect those who may come into contact with infected citizens.

斯瓦希里语

hatua hiyo ilichukuliwa kuhakikisha wamejitenga na kuwalinda wale ambao wanaweza kutangamana na raia walioambukizwa.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

if it adapts well, its transmission in humans would be difficult to stop by quarantine or other infection control measures.

斯瓦希里语

ikiwa virusi hivi vitazoeleka vyema, uenezi wake kwa binadamu unaweza kuwa vigumu kudhibiti kupitia karantini au hatua zingine za kudhibiti maambukizi.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

individuals may experience distress from quarantine, travel restrictions, side effects of treatment or fear of the infection itself.

斯瓦希里语

watu wanaweza kupatwa na dhiki karantini, vikwazo vya kusafiri, madhara ya matibabu au hofu ya maambukizo yenyewe.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

president hassan rouhani said on 26 february 2020 that there were no plans to quarantine areas affected by the outbreak, and only individuals would be quarantined.

斯瓦希里语

rais hassan rouhani alisema mnamo 26 februari 2020 kuwa hapakuwa na mipango kukarantini maeneo yaliyoathirika na mkurupuko, na ni watu binafsi tu watakoawekwa karantini.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

this is so that, if someone on the flight turns out to be infected, the authorities can track down the people who were sitting near them for testing or quarantine.

斯瓦希里语

hii ni kwa sababu, ikiwa mtu mwingine kwenye ndege hiyo atapatikana kuwa ameambukizwa, mamlaka inaweza kuwafuatilia watu waliokuwa wameketi karibu naye ili kupimwa na kukarantini.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

a gps app is used to track the locations of individuals in south korea to ensure against quarantine breach, sending alerts to the user and to authorities if people leave designated areas.

斯瓦希里语

programu ya gps hutumika kufuatilia maeneo ya watu huko korea kusini ili kuhakikisha hakuna kutoka karantini, kutuma arifa kwa mtumiaji na mamlaka ikiwa watu watatoka kwenye maeneo waliowekwa.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

if you have been in close contact with someone infected with covid-19, many countries will quarantine you for 14 days since the last exposure and monitor you for signs and symptoms.

斯瓦希里语

ikiwa umetangamana kwa karibu na mtu aliyeambukizwa covid-19, nchi nyingi zitakukarantini kwa siku 14 tangu mara ya mwisho mlipotangamana na kukufuatilia kwa ishara na dalili.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

great efforts are currently underway in china including the lockdown of wuhan and surrounding cities and continuous quarantine of almost the entire population in hopes of interrupting the transmission of sars-cov-2.

斯瓦希里语

juhudi kubwa zinaendelea kwa sasa nchini china ikiwa ni pamoja na kufungwa kwa shughuli za kawaida mjini wuhan na miji iliyo karibu na kuendeleza karantini kwa karibu watu wote kwa matumaini ya kukatisha usambazaji wa sars-cov-2.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

14-day quarantine, self-quarantine, or covid-19 test upon arrival from other parts of china or from other countries, at your expense

斯瓦希里语

karantini ya siku 14, karantini ya kibinafsi, au kipimo cha covid-19 baada ya kuwasili kutoka sehemu nyingine za uchina au kutoka nchi nyingine, kwa gharama yako

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

for the general public in affected or potentially affected areas, it is highly suggested that everybody wash their hands with disinfectant soaps more often than usual, try to stay indoors for self-quarantine and limit contact with potentially infected individuals.

斯瓦希里语

kwa jumla ya umma katika maeneo yaliyoathirika au yaliyo na uwezekano wa kuathirika, inapendekezwa sana kwamba kila mtu aoshe mikono yake kwa kutumia sabuni ya kusafisha nyingi kuliko kawaida, jaribu kukaa nyumbani kwa karantini ya kibinafsi na kupunguza kugusana na watu ambao huenda wameambukizwa.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

a number of provincial-level administrators of the communist party of china (cpc) were dismissed over their handling of the quarantine efforts in central china, a sign of discontent with the political establishment's response to the outbreak in those regions.

斯瓦希里语

baadhi ya wasimamizi katika mkoa wa chama cha kikomunisti ya uchina (cpc) walifutwa kufuatia jinsi walishughulikia juhudi za karantini uchini wa kati, ishara ya kutoridhika na mwitikio wa wanasiasa kwa mkurupuko katika maeneo hayo.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,762,691,772 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認