来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
the murder of an indian man in melbourne has reignited the debate about racism in australia and the safety of overseas students.
mauaji ya mtu mwenye asili ya india mjini melbourne yamewasha tena mjadala kuhusu ubaguzi wa rangi nchini australia na usalama wa wanafunzi kutoka ng’ambo.
that's the convoluted tap dance performed by gerard henderson in student assaults teach some harsh lessons about racism.
hiyo ni aina ya dansi ngumu ya kugongagonga kama inavyochezwa na gerard henderson katika makala ya kupigwa kwa wanafunzi kwafundisha masomo makali kuhusu ubaguzi wa rangi.
racism, classism, sexism, homophobia, religious intolerance and other biases can and do exist in our society, but they must not exist under the law.
ubaguzi wa rangi, uwepo wa matabaka, ubaguzi wa watu wa jinsia tofauti, hofu ya ushoga, kutovumiliana kidini pamoja na upendeleo wa aina nyingine vinaweza kuwapo na vipo katika jamii yetu, lakini havipaswi kuwepo kisheria.