来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
rules and regulations
sheria na kanuni
最后更新: 2023-03-08
使用频率: 1
质量:
参考:
regulations and public servant
sheria na kanuni
最后更新: 2015-08-28
使用频率: 1
质量:
参考:
such are the regulations of hajj.
ndio hivyo iwe!
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
参考:
different countries have different regulations regarding children in prisons.
nchi mbalimbali zina kanuni tofauti kuhusiana na watoto magerezani.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
new regulations for skype and viber in bahrain · global voices
bahrain: sheria mpya za kudhibiti huduma ya skype na viber
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
these sudden changes regarding drug regulations have sparked heated discussions online.
mabadiliko haya ya ghafla kuhusiana na kanuni zinazoongoza matumizi ya dawa, yameibua mijadala mikali katika mtandao.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
we talked about how to keep and dress at any time and follow the rules and regulations developed by kadco
tuliongelea namna ya kihifadhi na kuivaa muda wowote ule na kufuata sheria na kanuni zilizoandaliwa na kadco
最后更新: 2023-05-18
使用频率: 2
质量:
参考:
it is their job to police what is good for public broadcast as prescribed by television and sound broadcasting regulations.
ni kazi yao kuangalia lipi ni jema kurushwa hewani kama inavyoelezwa katika taratibu za televisheni na sauti.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
honestly thought they were complying with regulations, but were interrogated and deported with almost no time to pack or to say goodbye to the children.
kwa kweli walifikiri kuwa wanafuata utaratibu, lakini walihojiwa na kufukuzwa nchini bila ya muda wa kufungasha na kusema kwa heri kwa watoto.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
@commsbh: legislations and regulations aim to ensure the protection of data and boost the security of international calls and telecom networks.
@commsbh: sheria na kanuni zinakusudiwa kuhakikisha usalama wa takwimu za kimtandao na kuimarisha usalama wa simu za kimataifa na mitandao ya simu.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
according to the signers, each regulation refered to telecommunications and broadcastiong approved by mexican congress should comply constitutional regulations and international rules about human rights signed by mexico.
kwa mujibu wa waliotia sahihi, kila kanuni inakusudia kulazimisha kanuni za mawasiliano ya simu na utangazaji zilizopitishwa na kongamano la mexico kuzingatia kanuni za kikatiba na sheria za kimataifa kuhusu haki za binadamu iliyotiwa saini na mexico.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
a search of “tiananmen” on popular microblogging sina weibo reveals a message telling users that results cannot be found according to related laws and regulations.
kutafuta chochote kinachohusiana na neno “tiananmen” kwenye mtandao maarufu wa kijamii nchini china sina weibo kutakutana na ujumbe unaomfahamisha mtafutaji kuwa majibu hayawezi kupatikana kwa mujibu wa sheria na kanuni zinazohusika.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
rcgp rsc’s surveillance with phe is defined as health protection under regulation 3 of the health service (control of patient information) regulations 2002.
uchunguzi wa rcgp rsc na phe unafafanuliwa kuwa ulinzi wa afya chini ya kanuni ya 3 ya kanuni za huduma ya afya (udhibiti wa maelezo ya mgonjwa) za 2002.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
参考:
in the first protest in december 2014, several thousand people took to the streets of skopje, marching against additional taxes and fees imposed by new government regulations, effective as of january 1, 2015.
katika maandamano ya awali, yaliyofanyika desemba 2014, maelfu ya watu walijitokeza kwenye mitaa ya skopje wakipinga ongezeko la kodi pamoja na ada inayotozwa kwa mujibu wa taratibu mpya za serikali zilizoanza kutumika rasmi tarehe 1 januari, 2015.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
"security considerations" are being cited as reasons behind new regulations which could put an end to the use of popular services such as skype, whatsapp, viber and tango in bahrain.
"sababu za kiusalama" zinatajwa kuwa kigezo kilichosababisha kanuni mpya zinazoweza kuhitimisha matumizi ya huduma maarufu za skype, whatsapp, viber na tango nchini bahrain.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
警告:包含不可见的HTML格式
regulation
kanuni
最后更新: 2012-08-15
使用频率: 1
质量:
参考: