您搜索了: underlying (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

underlying

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

it is worth noting that age and underlying disease are strongly correlated and might interfere with each other.

斯瓦希里语

ni muhimu kutaja kwamba umri na magonjwa sugu yana mahusiano makubwa na yanaweza kuingiliana.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

it cannot be assumed that those with missing information are similar to those with data on either hospitalizations or underlying health conditions.

斯瓦希里语

haiwezi kuchukuliwa kuwa wale ambao maelezo yao hayapo ni sawa na wale walio na data kuhusu kulazwa hospitalini au hali sugu za afya.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

cdc continues to develop and update resources for persons with underlying health conditions to reduce the risk of acquiring covid-19.

斯瓦希里语

cdc inaendelea kuunda na kusasisha rasilimali kwa ajili ya watu walio na hali sugu za afya ili kupunguza hatari ya kupata covid-19.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

reports from china and italy suggest that risk factors for severe disease include older age and the presence of at least one of several underlying health conditions.

斯瓦希里语

ripoti kutoka china na italia zinaonyesha kwamba vigezo vya hatari vya ugonjwa mbaya ni pamoja na umri mkubwa na kuwepo kwa angalau moja kati ya hali kadhaa sugu za kiafya.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

case fatality rate is estimated at 1-3% of infected individuals, most of whom are elderly with underlying health conditions.

斯瓦希里语

idadi ya vifo inakadiriwa kuwa asilimia 1-3 ya watu walioambukizwa, wengi wao wakiwa wazee walio na matatizo mengine ya kiafya.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

persons in the united states with underlying health conditions appear to be at higher risk for more severe covid-19, consistent with findings from other countries.

斯瓦希里语

watu walio marekani walio na hali sugu za afya wanaonekana kuwa katika hatari kubwa zaidi kupata hali mbaya ya covid-19, kuambatana na matokeo kutoka katika nchi nyingine.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

approximately one third of these patients (2,692, 37.6%), had at least one underlying condition or risk factor.

斯瓦希里语

takriban thuluthi moja ya wagonjwa hawa (2,692, 37.6%), walikuwa na angalau hali moja sugu au kigezo cha hatari.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

preliminary estimates of the prevalence of selected underlying health conditions among patients with coronavirus disease 2019 — united states, february 12–march 28, 2020

斯瓦希里语

makadirio ya awali ya maambukizi ya hali teule sugu miongoni mwa wagonjwa wa ugonjwa wa virusi vya korona 2019 — marekani, tarehe 12 februari –28 machi 2020

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

because of small sample size and missing data on underlying health conditions among covid-19 patients who died, case-fatality rates for persons with and without underlying conditions were not estimated.

斯瓦希里语

kwa sababu ya kiwango kidogo cha sampuli na kutokuwepo kwa data kuhusu hali sugu za afya miongoni mwa wagonjwa wa covid-19 waliofariki, viwango vya vifo vya kila kisa kwa watu walio na, na wasio na hali sugu za afya havikukadiriwa.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

in contrast, 1,388 of 5,143 (27%) covid-19 patients who were not hospitalized were reported to have at least one underlying health condition.

斯瓦希里语

ikilinganishwa, idadi ya wagonjwa 1,388 kati ya 5,143 (27%) wa covid-19 ambao hawakulazwa hospitalini waliripotiwa kuwa na angalau hali moja sugu ya kiafya.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

...despite the ostensible changes in the way the government treats the media, the underlying mindset is much the same as in the past: journalists have been given greater “space” within which to work, but the limits of that space are still decided by the state.

斯瓦希里语

...licha ya mabadiliko yanayoonekana katika jinsi serikali inavyotumikia vyombo vya habari, mawazo ya msingi ni kiasi sawa kama siku za nyuma: waandishi wamepewa "nafasi" zaidi za kufanyia kazi, lakini mipaka ya nafasi hizo bado inaamuliwa na serikali .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,740,070,762 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認