您搜索了: unrighteousness (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

unrighteousness

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

all unrighteousness is sin: and there is a sin not unto death.

斯瓦希里语

kila tendo lisilo adilifu ni dhambi, lakini kuna dhambi isiyompeleka mtu kwenye kifo.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

英语

that they all might be damned who believed not the truth, but had pleasure in unrighteousness.

斯瓦希里语

matokeo yake ni kwamba wote wasioamini ukweli, ila wafurahia dhambi, watahukumiwa.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

英语

if we confess our sins, he is faithful and just to forgive us our sins, and to cleanse us from all unrighteousness.

斯瓦希里语

lakini tukiziungama dhambi zetu, basi mungu ni mwaminifu na mwadilifu, naye atatusamehe dhambi zetu na kututakasa na uovu wote.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

英语

for the wrath of god is revealed from heaven against all ungodliness and unrighteousness of men, who hold the truth in unrighteousness;

斯瓦希里语

ghadhabu ya mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni dhidi ya uasi na uovu wote wa binadamu ambao kwa njia zao mbaya wanaupinga ukweli usijulikane.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

英语

and with all deceivableness of unrighteousness in them that perish; because they received not the love of the truth, that they might be saved.

斯瓦希里语

na kutumia udanganyifu wa kila namna kwa wale walio katika mkumbo wa kupotea. hao watapotea kwa sababu hawakuupokea na kuupenda ule ukweli ili waokolewe.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

英语

which have forsaken the right way, and are gone astray, following the way of balaam the son of bosor, who loved the wages of unrighteousness;

斯瓦希里语

wameiacha njia iliyonyoka, wakapotoka na kuifuata njia aliyofuata balaamu, mwana wa beori, ambaye alipendelea kupata faida kwa kufanya udanganyifu,

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

英语

neither yield ye your members as instruments of unrighteousness unto sin: but yield yourselves unto god, as those that are alive from the dead, and your members as instruments of righteousness unto god.

斯瓦希里语

wala msitoe hata sehemu moja ya miili yenu iwe chombo cha kutenda uovu na dhambi. badala yake, jitoleeni ninyi wenyewe kwa mungu kama watu waliofufuliwa kutoka wafu; toeni nafsi zenu zote kwa mungu kwa ajili ya uadilifu.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

英语

and shall receive the reward of unrighteousness, as they that count it pleasure to riot in the day time. spots they are and blemishes, sporting themselves with their own deceivings while they feast with you;

斯瓦希里语

na watalipwa mateso kwa mateso ambayo wameyasababisha. furaha yao ni kufanya, tena mchana kabisa, chochote kinachotosheleza anasa zao za mwili. hao ni fedheha na aibu tupu kwa jumuiya yenu wakati wanapojiunga nanyi katika karamu zenu, bali wakifurahia njia zao za udanganyifu.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

英语

being filled with all unrighteousness, fornication, wickedness, covetousness, maliciousness; full of envy, murder, debate, deceit, malignity; whisperers,

斯瓦希里语

wamejaa kila aina ya uovu, dhuluma, ulafi na ufisadi. wamejaa wivu, uuaji, ugomvi, udanganyifu na nia mbaya; husengenya,

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,731,045,895 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認