您搜索了: manifestado (西班牙语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Spanish

Swahili

信息

Spanish

manifestado

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

西班牙语

斯瓦希里语

信息

西班牙语

ya se han manifestado síntomas de la misma.

斯瓦希里语

na hakika alama zake zimekwisha kuja.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

西班牙语

porque la gracia salvadora de dios se ha manifestado a todos los hombres

斯瓦希里语

maana neema ya mungu imedhihirishwa kwa ajili ya wokovu wa watu wote.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

西班牙语

y sabéis que él fue manifestado para quitar los pecados y que en él no hay pecado

斯瓦希里语

mnajua kwamba kristo alikuja kuziondoa dhambi zetu, na kwamba kwake hamna dhambi yoyote.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

西班牙语

pero ahora, aparte de la ley, se ha manifestado la justicia de dios atestiguada por la ley y los profetas

斯瓦希里语

lakini sasa, njia ya mungu ya kuwakubali watu kuwa waadilifu imekwisha dhihirishwa, tena bila kutegemea sheria. sheria na manabii hushuhudia jambo hili.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

西班牙语

los habitantes de zuérate han mostrado su solidaridad con los huelguistas y lo han manifestado ofreciéndoles asistencia para que su protesta continúe.

斯瓦希里语

wakaazi wa zouerat wameonyesha huruma zao kwa waandamanaji na kufikia hata kuwapa misaada ili kuhakikisha maandamano yanaendelea.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

y entonces será manifestado aquel inicuo, a quien el señor jesús matará con el soplo de su boca y destruirá con el resplandor de su venida

斯瓦希里语

hapo ndipo mwovu atakapotokea; lakini bwana yesu anapokuja atamuua kwa pumzi ya kinywa chake na kumwangamiza kwa mng'ao wa kuja kwake.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

西班牙语

desde la revolución, los egipcios se han manifestado tanto en internet como fuera de él en contra del acoso sexual y la violencia de género.

斯瓦希里语

tangu mapinduzi yalipofanyika, wamisri wanaotumia mtandao wa intaneti na wasiotumia mtandao wa intaneti wamekuwa wakisimama imara kupinga udhalilishaji wa kijinsia pamoja na machafuko yatokanayo na kutokujali usawa wa binadamu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

a muchos de la gente de la escritura les gustaría hacer de vosotros infieles después de haber sido creyentes, por envidia, después de habérseles manifestado la verdad.

斯瓦希里语

wengi miongoni mwa watu wa kitabu wanatamani lau wange kurudisheni nyinyi muwe makafiri baada ya kuamini kwenu, kwa ajili ya uhasidi uliomo ndani ya nafsi zao, baada ya kwisha wapambanukia haki.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

西班牙语

a quien se separe del enviado después de habérsele manifestado claramente la dirección y siga un camino diferente del de los creyentes, le abandonaremos en la medida que él abandone y le arrojaremos a la gehena.

斯瓦希里语

na anaye mpinga mtume baada ya kumdhihirikia uwongofu, na akafuata njia isiyo kuwa ya waumini, tutamuelekeza aliko elekea, na tutamuingiza katika jahannamu.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

西班牙语

pero que ha sido manifestado ahora; y que por medio de las escrituras proféticas y según el mandamiento del dios eterno se ha dado a conocer a todas las naciones para la obediencia de la fe--

斯瓦希里语

lakini, sasa ukweli huo umefunuliwa kwa njia ya maandiko ya manabii; na kwa amri ya mungu wa milele umedhihirisha kwa mataifa yote ili wote waweze kuamini na kutii.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

西班牙语

amados, ahora somos hijos de dios, y aún no se ha manifestado lo que seremos. pero sabemos que cuando él sea manifestado, seremos semejantes a él, porque le veremos tal como él es

斯瓦希里语

wapenzi wangu, sisi ni watoto wa mungu sasa, lakini bado haijaonekana wazi jinsi tutakavyokuwa. lakini tunajua kwamba wakati kristo atakapotokea, tutafanana naye kwani tutamwona vile alivyo.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

西班牙语

en la última cumbre unión europea-África, celebrada en bélgica, el presidente de zambia, michael chilufya sata, reiteró lo que otros dirigentes africanos habían manifestado en anteriores ocasiones: occidente contribuye a las guerras en África a través de la venta de armas y equipamiento militar.

斯瓦希里语

kwenye mkutano wa hivi karibuni wa umoja wa ulaya ulifanyika nchini ubeligiji, rais wa zambia michael chilufya sata alijibu mapigo kwa kile kile ambacho viongozi wengine wa afrika walikisema huko nyuma kuhusu nchi za magharibi kuchangia vita barani humu kupitia biashara ya sialaha na vifaa vingine vya kivita.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,742,723,339 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認