您搜索了: dedisti (拉丁语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Latin

Swahili

信息

Latin

dedisti

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

拉丁语

斯瓦希里语

信息

拉丁语

nunc cognoverunt quia omnia quae dedisti mihi abs te sun

斯瓦希里语

sasa wanajua kwamba kila ulichonipa kimetoka kwako.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

ego te clarificavi super terram opus consummavi quod dedisti mihi ut facia

斯瓦希里语

mimi nimekutukuza hapa duniani; nimeikamilisha ile kazi uliyonipa nifanye.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

ego pro eis rogo non pro mundo rogo sed pro his quos dedisti mihi quia tui sun

斯瓦希里语

"nawaombea hao; siuombei ulimwengu, ila nawaombea hao ulionipa, maana ni wako.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

拉丁语

osculum mihi non dedisti haec autem ex quo intravit non cessavit osculari pedes meo

斯瓦希里语

wewe hukunisalimu kwa kunibusu, lakini huyu mwanamke tangu nilipoingia hapa amekuwa akiibusu miguu yangu.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

sicut dedisti ei potestatem omnis carnis ut omne quod dedisti ei det eis vitam aeterna

斯瓦希里语

maana ulimpa mwanao mamlaka juu ya watu wote ili awape uzima wa milele wote hao uliompa.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

et quare non dedisti pecuniam meam ad mensam et ego veniens cum usuris utique exegissem illu

斯瓦希里语

kwa nini basi, hukuiweka fedha yangu benki, nami ningeichukua pamoja na faida baada ya kurudi kwangu?

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

manifestavi nomen tuum hominibus quos dedisti mihi de mundo tui erant et mihi eos dedisti et sermonem tuum servaverun

斯瓦希里语

"nimekufanya ujulikane kwa watu wale ulionipa kutoka duniani. walikuwa watu wako, nawe ukanipa wawe wangu; nao wamelishika neno lako.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

拉丁语

cum essem cum eis ego servabam eos in nomine tuo quos dedisti mihi custodivi et nemo ex his perivit nisi filius perditionis ut scriptura impleatu

斯瓦希里语

nilipokuwa nao, mimi niliwaweka salama kwa nguvu ya jina lako ulilonipa. mimi nimewalinda, wala hakuna hata mmoja wao aliyepotea, isipokuwa yule aliyelazimika kupotea ili maandiko matakatifu yapate kutimia.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

at ille respondens dixit patri suo ecce tot annis servio tibi et numquam mandatum tuum praeterii et numquam dedisti mihi hedum ut cum amicis meis epulare

斯瓦希里语

lakini yeye akamjibu: kumbuka! miaka yote nimekutumikia, sijavunja amri yako hata mara moja. umenipa nini? hujanipa hata mwana mbuzi mmoja nikafanye sherehe pamoja na rafiki zangu!

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

et conversus ad mulierem dixit simoni vides hanc mulierem intravi in domum tuam aquam pedibus meis non dedisti haec autem lacrimis rigavit pedes meos et capillis suis tersi

斯瓦希里语

halafu akamgeukia yule mwanamke na kumwambia simoni, "unamwona huyu mwanamke, sivyo? basi, mimi nilipoingia hapa nyumbani kwako hukunipa maji ya kunawa miguu yangu; lakini mwanamke huyu ameniosha miguu yangu kwa machozi yake na kunipangusa kwa nywele zake.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
8,022,684,542 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認