您搜索了: gloriae (拉丁语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Latin

Swahili

信息

Latin

gloriae

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

拉丁语

斯瓦希里语

信息

拉丁语

et cum apparuerit princeps pastorum percipietis inmarcescibilem gloriae corona

斯瓦希里语

na wakati mchungaji mkuu atakapotokea, ninyi mtapokea taji ya utukufu isiyofifia.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

non efficiamur inanis gloriae cupidi invicem provocantes invicem invidente

斯瓦希里语

basi, tusijivune, tusichokozane wala kuoneana wivu.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

ut ostenderet divitias gloriae suae in vasa misericordiae quae praeparavit in gloria

斯瓦希里语

alitaka pia kudhihirisha wingi wa utukufu wake ambao alitumiminia sisi tulio lengo la huruma yake; sisi ambao alikwisha kututayarisha kuupokea utukufu wake.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

qui est pignus hereditatis nostrae in redemptionem adquisitionis in laudem gloriae ipsiu

斯瓦希里语

huyu roho ni dhamana ya kurithi yote yale mungu aliyowaahidia watu wake, na jambo hili latuhakikishia kwamba mungu atawakomboa kabisa wote walio wake. tuusifu utukufu wake!

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

expectantes beatam spem et adventum gloriae magni dei et salvatoris nostri iesu christ

斯瓦希里语

tukiwa tunangojea siku ile ya heri tunayoitumainia, wakati utakapotokea utukufu wa mungu mkuu na mwokozi wetu yesu kristo.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

ad quod et vocavit vos per evangelium nostrum in adquisitionem gloriae domini nostri iesu christ

斯瓦希里语

mungu aliwaitieni jambo hili kwa njia ya habari njema tuliyowahubirieni; aliwaiteni mpate kupokea sehemu yenu katika utukufu wa bwana wetu yesu kristo.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

ut det vobis secundum divitias gloriae suae virtute corroborari per spiritum eius in interiore homin

斯瓦希里语

namwomba mungu, kadiri ya utajiri wa utukufu wake, awajalieni kwa uwezo wa roho wake, nguvu ya kuwa imara ndani yenu,

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

amplioris enim gloriae iste prae mose dignus habitus est quanto ampliorem honorem habet domus qui fabricavit illa

斯瓦希里语

mjenzi wa nyumba hupata heshima zaidi kuliko hiyo nyumba yenyewe. hali kadhalika naye yesu anastahili heshima kubwa zaidi kuliko mose.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

inluminatos oculos cordis vestri ut sciatis quae sit spes vocationis eius quae divitiae gloriae hereditatis eius in sancti

斯瓦希里语

namwomba mungu aifunue mioyo yenu iweze kuuona mwanga wake, mpate kutambua lile tumaini alilowaitieni na utukufu mkuu wa zawadi alizowawekea watu wake,

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

id enim quod in praesenti est momentaneum et leve tribulationis nostrae supra modum in sublimitatem aeternum gloriae pondus operatur nobi

斯瓦希里语

taabu tunayopata ni kidogo, tena ya muda tu: lakini itatupatia utukufu upitao matazamio yote, utukufu ambao hauna mwisho.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

qui ait viri fratres et patres audite deus gloriae apparuit patri nostro abraham cum esset in mesopotamiam priusquam moraretur in charra

斯瓦希里语

naye stefano akasema, "ndugu zangu na akina baba, nisikilizeni! mungu alimtokea baba yetu abrahamu alipokuwa kule mesopotamia kabla hajaenda kukaa kule harani.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

拉丁语

qui cum sit splendor gloriae et figura substantiae eius portansque omnia verbo virtutis suae purgationem peccatorum faciens sedit ad dexteram maiestatis in excelsi

斯瓦希里语

yeye ni mng'ao wa utukufu wa mungu, na mfano kamili wa hali ya mungu mwenyewe, akiutegemeza ulimwengu kwa neno lake lenye nguvu. baada ya kuwapatia binadamu msamaha wa dhambi zao, aliketi huko juu mbinguni, upande wa kulia wa mungu mkuu.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,792,325,237 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認