来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
in ipsa die accesserunt quidam pharisaeorum dicentes illi exi et vade hinc quia herodes vult te occider
wakati huohuo, mafarisayo na watu wengine walimwendea yesu wakamwambia, "ondoka hapa uende mahali pengine, kwa maana herode anataka kukuua."
herodes autem tetrarcha cum corriperetur ab illo de herodiade uxore fratris sui et de omnibus malis quae fecit herode
lakini yohane alimgombeza herode, mkuu wa mkoa, kwa sababu alikuwa amemchukua herodia, mke wa ndugu yake, na kumfanya mke wake; na pia kwa ajili ya mabaya yote aliyokuwa amefanya.
convenerunt enim vere in civitate ista adversus sanctum puerum tuum iesum quem unxisti herodes et pontius pilatus cum gentibus et populis israhe
"maana, kwa hakika, ndivyo herode, pontio pilato, watu wa israeli na watu wa mataifa walivyokutanika papa hapa mjini, kumpinga yesu mtumishi wako mtakatifu ambaye umemtia mafuta.
cum autem producturus eum esset herodes in ipsa nocte erat petrus dormiens inter duos milites vinctus catenis duabus et custodes ante ostium custodiebant carcere
usiku, kabla ya siku ile ambayo herode angemtoa petro hadharani, petro alikuwa amelala kati ya askari wawili. alikuwa amefungwa minyororo miwili, na walinzi walikuwa wanalinda lango la gereza.
herodes autem viso iesu gavisus est valde erat enim cupiens ex multo tempore videre eum eo quod audiret multa de illo et sperabat signum aliquod videre ab eo fier
herode alifurahi sana alipomwona yesu. alikuwa amekwisha sikia habari zake, na hivyo alikuwa anatazamia kwa muda mrefu kumwona kwa macho yake mwenyewe. zaidi ya hayo, alikuwa anatumaini kumwona yesu akitenda mwujiza.
qui cum recessissent ecce angelus domini apparuit in somnis ioseph dicens surge et accipe puerum et matrem eius et fuge in aegyptum et esto ibi usque dum dicam tibi futurum est enim ut herodes quaerat puerum ad perdendum eu
baada ya wale wageni kuondoka, malaika wa bwana alimtokea yosefu katika ndoto, akamwambia, "amka! mchukue mtoto pamoja na mama yake, mkimbilie misri. kaeni huko mpaka nitakapokwambia, maana herode anakusudia kumwua huyu mtoto."