来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
alionekana kama umeme na mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji.
a lice njegovo bee kao munja, i odelo njegovo kao sneg.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
jarida la le post linaeleza kuwa hayo yalikuwa ni makosa kwa sababu:
le post objašnjava da je u pitanju greška jer su:
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
siku hiyo ilikuwa ijumaa, na maandalio ya siku ya sabato yalikuwa yanaanza.
i dan bee petak, i subota osvitae.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
nao wayahudi waliunga mkono mashtaka hayo wakisema kwamba hayo yote yalikuwa kweli.
a i jevreji se sloie govoreæi da je ovo tako.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
akawaendea tena, akawakuta wamelala, maana macho yao yalikuwa yamebanwa na usingizi.
i doavi nadje ih opet gde spavaju; jer im behu oèi oteale.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
nywele zao zilikuwa kama nywele za wanawake, na meno yao yalikuwa kama meno ya simba.
i imahu kose kao kose enske, i zubi njihovi behu kao u lavova;
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
madhumuni yangu kuandika ile barua yalikuwa kutaka kujua kama mko tayari kutii katika kila jambo.
jer vam zato i pisah, da poznam potenje vae jeste li u svaèemu posluni.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
kisha akarudi tena, akawakuta wamelala. macho yao yalikuwa yamebanwa na usingizi. hawakujua la kumjibu.
i vrativi se nadje ih opet gde spavaju; jer im behu oèi oteale; i ne znahu ta bi mu odgovorili.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
vilevile maandishi haya yalikuwa yameandikwa na kuwekwa juu yake: "huyu ndiye mfalme wa wayahudi."
a bee nad njim i natpis napisan slovima grèkim i latinskim i jevrejskim: ovo je car judejski.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
maoni ya awali kwenye twita yalikuwa ni ya kutoamini kwamba aliyekuwa mshindi wa urembo angependekezwa kushiriki uchaguzi katika ngazi ya juu namna hii.
prva mišljenja na tweetter-u su iskazala nevericu u odnosu na mogućnost da se jedna bivša misica kandiduje i bude izabrana na tako visok položaj.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
kuta za mji huo zilikuwa zimejengwa juu ya mawe ya msingi kumi na mawili, na juu ya mawe hayo yalikuwa yameandikwa majina na mitume kumi na wawili wa mwanakondoo.
i zid gradski imae dvanaest temelja, i na njima imena dvanaest apostola jagnjetovih.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
kule ikonio, mambo yalikuwa kama yalivyokuwa kule antiokia; paulo na barnaba walikwenda katika sunagogi la wayahudi wakaongea kwa uhodari hata wayahudi wengi na wagiriki wakawa waumini.
u ikoniji pak dogodi se da oni zajedno udjoe o zbornicu jevrejsku, i govorahu tako da verova veliko mnotvo jevreja i grka.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
watu wa huko walikuwa wasikivu zaidi kuliko wale wa thesalonika. waliupokea ule ujumbe kwa hamu kubwa, wakawa wanayachunguza maandiko matakatifu kila siku, ili kuona kama yale waliyosema paulo na sila yalikuwa kweli.
ovi pak behu plemenitiji od onih to ive u solunu; oni primie reè sa svim srcem, i svaki dan istraivahu po pismu je li to tako.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
magazeti ya mwanzo yalikuwa yakiandikwa kwa mkono 'inawezekana kwamba hivi sasa gazeti la ‘the musalman ' pengine ndiyo pekee lililobaki linaloandikwa kwa mkono ulimwenguni.
najraniji oblik novina je bio ručno pisan i danas vjerovatno posljednja ručno pisana novina u svijetu je 'the musalman'.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
matukio mawili yalikuwa karibu sana kwa wakati, kwa ukweli, kuwa i-télé (kituo cha televisheni nchini ufaransa) kilikusanya picha ambazo maelezo yake yanakinzana na matukio ya guadeloupe na yale ya madagaska :
drugi događaj je tako brzo nastao posle onog prvog, tako da je i-télé ((kablovski tv informativni kanal u francuskoj) sastavio sledeću malu montažu u kojoj komentar meša događaje u guadeloupe-u s onima na madagaskaru:
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量: