您搜索了: kimataifa (斯瓦希里语 - 意大利语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Italian

信息

Swahili

kimataifa

Italian

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

意大利语

信息

斯瓦希里语

jambo hili tayari limeenea na yanafuatiliwa kimataifa

意大利语

la situazione ha già avuto risonanza a livello internazionale.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mandhari ya nje kutokea uwanja wa kimataifa wa bahrain.

意大利语

vista dall

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tarehe 18 disemba ilikuwa ni siku ya kusherehekea siku ya kimataifa ya wahamiaji .

意大利语

il 18 dicembre si è colta l'occasione per celebrare la giornata internazionale degli immigrati .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

inashangaza, hata hivyo suala hili halijapata wasikilizaji kwenye jamii ya kimataifa.

意大利语

incredibilmente, questo problema non sembra attirare l'attenzione della comunità internazionale.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kujitoa kwa gambia kutoka jumuiya ya madola kunavutia vichwa vya habari za kimataifa.

意大利语

l'uscita del gambia dal commonwealth ha attirato l'interesse delle testate internazionali.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

sera zaweza kuwa zile zinazotungwa na serikali, vyombo vya kimataifa au hata makampuni ya kiteknolojia.

意大利语

la politica potrebbe partire dal governo, da un organismo di regolamentazione internazionale o da una azienda tecnologica.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

picha ya mccaffery imewekwa kwenye ukurasa wa matukio ya matembezi ya kimataifa kutetea tembo.

意大利语

la foto è di mara mccaffery, pubblicata sulla pagina evento della marcia internazionale per gli elefanti.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

picha kutoka kwa mtumiaji wa flickr sida - shirika la maendeleo na ushirikiano wa kimataifa la sweden

意大利语

cooperazione internazionale allo sviluppo.foto di sida su flickr con licenza creative commons

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

al sisi akitangaza mwisho wa uongozi wa morsi. picha imepigwa kutoka katika kituo cha televisheni cha kimataifa cha ccn

意大利语

al sisi annuncia la fine del governo di morsi.fermo immagine tratto da cnn international.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

serikali imeihakikishia umma kuwa itaendelea kupokea misaada ya kibinadamu kwa ushirikiano wa karibu na oic na makundi mengine ya kimataifa.

意大利语

il governo ha assicurato che continuerà a ricevere gli aiuti umanitari collaborando strettamente con l'oci e con le altre organizzazioni internazionali.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tunaitaka serikali ya morocco kusimamia makubaliano ya haki za binadamu za kimataifa na hivyo kufuta mashitaka iliyofungua dhidi ya watu hawa saba.

意大利语

chiediamo al governo del marocco di rispettare i suoi impegni verso gli accordi internazionali per i diritti umani e che faccia cadere tutte le accuse contro questi sette individui.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

chombo cha habari cha al jazeera ndicho cha pekee kilichokubalika kama chombo cha kikuu cha habari cha kimataifa kilicho onyesha kiwango cha mgomo wa kutokula.

意大利语

durante il programma the stream, al jazeera è stata l'unica emittente riconosciuta internazionalmente che abbia evidenziato la gravità dello sciopero della fame.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hadi sasa taasisi hii imeshapanuka kiasi cha kuwa mtandao wa kimataifa wa wataalamu wa tiba ambao jukumu lao ni kuwasaidia wahanga kujenga upya makazi yao na maisha yao.

意大利语

essa è cresciuta fino a diventare una rete internazionale di medici professionisti, che aiutano le vittime a ricostruirsi una casa e procurarsi dei mezzi di sostentamento.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

calestous juma, profesa wa maendeleo ya kimataifa katika chuo kikuu cha harvard, anaongeza kwamba mazingira ya bara la afrika yako tofauti:

意大利语

calestous juma, professore di prassi dello sviluppo internazionale all'università di harvard, aggiunge che il contesto del continente africano è differente :

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya gambia kutangaza uamuzi wa kufutilia mbali uanachama wake wa chombo hicho cha kimataifa kinachoongozwa na queen elizabeth ii, watumiaji wa mtandao duniani kote wameitikia uamuzi huo kwa hisia tofauti.

意大利语

dopo che il gambia ha annunciato la decisione di ritirare la sua adesione all'organizzazione internazionale guidata dalla regina elisabetta ii, i netizen di tutto il mondo hanno espresso pareri contrastanti.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

itakuwa ndiyo siku kimataifa ya nelson mandela ya kwanza tangu umoja wa mataifa ulipopitisha azimio mwezi novemba mwaka 2009, likiitangaza tarehe 18 julai kwamba ni siku inayotengwa kwa ajili ya shughuli za kuimarisha utu.

意大利语

il 18 luglio 2010 sarà il primo nelson mandela international day. le nazioni unite, nel novembre 2009, hanno infatti approvato una risoluzione che dichiara il 18 luglio giornata internazionale dedicata ad attività umanitarie.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, ukuzaji wa mgogoro wa venezuela unaofanywa na vyombo vya habari vya kimataifa na ukimya wake kwa mgogoro wa haiti, unaibua maswali muhimu kuhusu kuyumba kwa marekani katika kuimaisha tunu ya haki za binadamu na demokrasia.

意大利语

tuttavia, l'enfasi data alla crisi venezuelana dai media internazionali e il loro completo silenzio riguardo haiti suscitano vari interrogativi sulla mancanza di coerenza degli stati uniti in tema di diritti umani e democrazia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, mbali ya madai ya jumuiya ya kimataifa inayotaka kupunguza umaskini duniani, suluhisho la mipaka iliyo wazi linaweza tu kufikiriwa katika muktadha wa namna zake na hauwezi kupewa kipaumbele juu ya vipengele vingine kwenye ajenda ya kimataifa.

意大利语

tuttavia, nonostante le affermazioni della comunità internazionale che vuole ridurre la povertà nel mondo, la soluzione delle frontiere aperte è da considerarsi soltanto in contesti specifici e non avrà la precedenza su altre questioni nell'agenda internazionale.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hii ni hatua kubwa muhimu katika historia ya utafutaji haki kimataifa, kwa wahanga walio nchini kongo (drc) na kwa mpango wa matumizi ya picha za video kwa ajili ya kuleta mabadiliko.

意大利语

la sentenza rappresenta una pietra miliare significativa per la giustizia internazionale, per le vittime della repubblica democratica del congo e per l'iniziativa di witness video for change .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@ghadasha:... utawala wa mubarak, baraza kuu la kijeshi na muslim brotherhood - ambao wote hupata misaada ya wafadhili na huomba omba kwa jumuiya ya kimataifa.

意大利语

@ghadasha:... dal regime di mubarak, il consiglio supremo delle forze armate e i fratelli musulmani che hanno ottenuto aiuti internazionali e hanno chiesto la carità alla comunità internazionale.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,781,370,444 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認